Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga akiaga miili ya askari waliofariki ajalini msafara wa Dr Bilal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga akiaga miili ya askari waliofariki ajalini msafara wa Dr Bilal

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmbangifingi, Jan 29, 2012.

 1. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  P1030373[2].JPG P1030340[1].JPG P1030339[1].JPG download (37)[2].jpg IMAG3204[1].JPG

  Mwenye kanzu,,mwenyekiti wa ccm Mkoa Tanga Mussa Shekimweri akiuaga miili wa marehemu waliofariki katika ajali,picha mbili ni za askari hao Cpl Kangaga na Pc Nyang'ombe (RIP),sambamba na za gari iliyopata ajali.(MICHUZI)
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,665
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ....kifo hakina hodi. Mungu awalaze panapostahili na atunze familia zao.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  atangulie tu! waliua ndugu zetu hapa arusha bila sababu!
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Wakuu huyu Bilal yeye hakusimama hata kujua kumetokea nini au arudi kuja kuaga ?
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza na hata kwenye Msiba hajatokea. Maaskari wote Tanzania wamebaki wakiwa kwa kitendo hiki cha watawala wa CCM!

   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  kweli leo uko tilalila!!
   
Loading...