Wakuu ninataarifa ya toka chanzo cha kuaminika kuwa hukumu iliyotolewa na lema imepagwa kwa makakati wa ikulu na usalama wa taifa, inasemekena hakimu alimempa ruhusa lema kugombea ili hali akijua...
Jamani watanzania wenzangu mbona chama cha matusi aka chama cha majaji hakijawahi kumteua rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi kushiriki kwenye kampeni za kumnadi mgombea wa CCM kwenye chaguzi ndogo...
Habari zenu! KAMA chama cha demokrasia na maendeleo chadema kitajiridhisha kuwa Kamanda Lema ana mtego unaomnyima kugombea tena basi akabidhiwe rungu la nchi nzima la M4C maana wanadhani...
Nimejiunga JF baada ya kuona majina yaliomo kwenye tume ya katiba,
Upande wa zanzibar tumeridhishwa kiasi na uteuzi ingawa kuna baadhi ya watu ni watetezi wa muungano, lakini tuna furaha kwa kuwa...
Kwa mara nyingine tena waziri Malima anaingia matatani. Jeshi la Polisi limekaririwa kuwa waziri huyu anamiliki silaha SMG kinyume cha sheria. Kwa maelezo zaidi soma hapa chini.........What next...
Wana CDM CCM inafanya kila njia kuyachukua baadhi ya majimbo ya ubunge ya CDM.Baada ya Lema hatujui nani...labda Mnyika au Tundu Lissu.Pamoja na hayo uhakika wa kuchukua tena jimbo la Arusha ni...
Hakuna ubishi kwamba tunangia kwenye uchaguzi mdogo katika majimbo ya IGUNGA na ARUSHA mjini. Igunga ni wazi jimbo lile liko wazi na kule Arusha CHADEMA imewatimua madiwani wakaidi. Kwa maana hiyo...
katika moja ya mikutano yake mbunge mteule josh Nassari alisikika akiwaambia wananchi kuwa yeye ni paka mwenye uwezo wa kutafuna mapanya ya halmashauri.
Hii ndio falsafa ya joshua nassari mtoto...
Wengi wanahisi au kusema kwamba kulikuwa na influence juu ya judge kutoa hukumu dhidi ya Lema ili apoteze kiti cha ubunge. Kama kweli hili lilifanyika basi ni kwamba mtu wa CCM yeyotealiyeshiriki...
Napenda kuwaeleza kwamba, haya yote yanayomkuta Lema ni kutokana na nyie kutumiwa na mafisadi kuweza kukandamiza haki ya mnyonge.
Tazameni sasa damu yetu wana Arusha inaenda kumwagika wakati...
SAKATAla ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, limeingia katika hatua nyingine baada ya Benki ya Dunia nchini, kutaka maelezo ya kina vinginevyo itasitisha...
Naweza kuongea hili kwa ujasiri wote kwasababu siku matukio yanatokea nilikuwa nafuatilia kwa kwa ukaribu sana.
Watanzania imefika wakati tuondoe uwoga na kutetea masilahi ya watu na si...
This is the perfect fact Germans ruled Tanganyika approx 30 yrs;British approx 40; CCM 50 years and counting. Who made biggest impact? Majority of Tanzanians are living in absolutely poverty. It's...
Weve beaten Mugabe could be the slogan of political and media operators in Britain and elsewhere in the West, who like to fantasise that Mugabe is Africas Hitler, that he was as bad as the...
Nakumbuka Kauli ya mwisho ambayo Mwalimu aliwahi kuitoa kuhusu Mzee Mtei Edwin pale nyumbani kwake Msasani, aliguna sana baada ya kusikia Mzee Mtei na wenzake wameanzisha Chama cha Siasa...
Mimi ni Kijana ambaye nimekulia Arusha na ninajua watu wengi wa Arusha wanavyofikiria. Arusha ni mji wa wafanya biashara wadogowadogo na kitu kimoja ambacho watu wa Arusha hawapendi ni maisha yao...
WanaJF
Nadhani wengi tumepata bahati ya kusikia Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM kule Arumeru Mashariki katika moja ya mikutano ya Kampeni ya CCM. Ni wazi kuwa katika kampeni vijembe...
Katika maoni ya wananchi kutoka Nipashe, watu wa Mbeya wamesema watajitolea kuja Arusha kulinda Kura.
source: :: IPPMEDIA
Kichwa cha habari: Wananchi wazungumza kuhusu hukumu
Pia hukumu...