Kuna mipango iliyosukwa Lema akigombea ubunge kuenguliwa na tume! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mipango iliyosukwa Lema akigombea ubunge kuenguliwa na tume!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Apr 6, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Wakuu ninataarifa ya toka chanzo cha kuaminika kuwa hukumu iliyotolewa na lema imepagwa kwa makakati wa ikulu na usalama wa taifa, inasemekena hakimu alimempa ruhusa lema kugombea ili hali akijua kuwa kutakuwa na shinikizo la pingamizi litakalo wasilishwa na chama kimoja wapo cha upinzani, inasemekana pia ikiwa ccm wamejipanga wakijua chadema watakurupuka kuingia kwenye uchaguzi na siyo kukata rufaa kwani, hawangependa kuona chadema inakata rufaa.

  My take: Chadema hebu pitieni hukumu kwa uangalifu sana na pia muangalie na mjiridhishe kabla ya kuamua kukubali kuingia kwenye uchaguzi, ikiwezekana mkate rufaa ni hayo.
   
 2. l

  liverpool2012 Senior Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna mweka mpambanaji mwengine lema atatumika kwenye M4C
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Noted with Thanks mkuu.
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hiki ndicho ulicho taka kusema....asante kwa taarifa...
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hilo jambo na mimi nimelisikia asubuhi na mapema pale eneo la safari hotel karibu na Arusha Palace hotel na huyu aliyeniambia amesema kuna jamaa wa usalama wa taifa amemweleza. Ni kwamba wanataka wawaingize CDM mkenge ili Lema akisimama tu liwekwe pingamizi na kumwengua mazima. Ukiiangalia hukumu inaonekana nyepesi sana ili kumkaanga Lema atakapojaribu kugombea kwa mara nyingine huku tayari akiwa ameshindwa kesi. Kukata rufaa nayo inatakiwa ifanywe kwa tahadhari kubwa CDM wakusanye data kupitia wanasheria wao makinii
   
 6. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  CDM kuna watu makini...Hila zote za magamba zinajulikana..wait and see.
   
 7. P

  Papaya Senior Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du makamanda jitaidini kupata clarificatin ya hii hukumu. Huu utata wa hukumu ni makusudi ili magamba wapate ushindi wa mezani
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hayo mengine ni MENGINEYO, tunayoyajua sisi ni kuwa Mahakama imemkuta na hatia muheshimiwa LEMA kwa makosa 2 na imetupilia mbali makosa 2. FULL STOP
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Efforts wanazotumia CCM kupambana na CDM zingelitumika pia ktk maendeleo ya nchi tungekuwa mbali sana!
   
 10. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nimeamini ccm ndo adui wetu namba moja nchini! Tukimuua tu Tanzania inatakuwa nchi ya amani na utulivu!
  Jamani nina kaswali kadogo hapa! Hivi wanaojiita wapambanaji ndani ya ccm akina sita na mwakyembe kwanini wasitoke huko waje huku cdm? Au watauawa?
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  MBONA WA KUGOMBEA WAPO WENGI TU. Tayari Lema amenukuliwa akisema hatogombea tena labda CDM wamwambie afanye hivyo. tusubiri wakuu jibu tutapata kesho toka katika chama. hata tukimsimamisha paka tutashinda tu.

  [​IMG]
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kwenye red hapo unaonyesha kashfa kwa waarusha! yale yale ya maruhani pemba!
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  upambanaji wao upo kimaslahi zaidi
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hili tego la mahakama tumeshalibaini kitambo sana!

  Hawa ccm hawana jipya tena!
  Na nawahakikishia ya kwmb humu jamvini tuna kila aina ya mtu!

  Tunashukuru kwa taarifa yako Kamanda!
  Tunashukuru kwa kuona ushirikiano mzuri kama huu ndani ya Nchi yetu ya MAZIWA na ASALI ambao mafisadi wachache wenye uchu na madaraka wamejineemesha nayo na familia zao!
  Tunashukuru kwa Makamanda wengine kama Kurunzi wenye ushirikiano kama huu wa kuwang'oa mafisadi ktk Nchi yetu!

  Mambo yote ni kesho NMC pale uwanjani!
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Uzuri hata ndani ya Usalama wa Taifa kuna wana CDM wazuri sana, wanaoipenda nchi yao just by default value!
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Magamba yamestukiwa lol:heh:
   
 17. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  cdm kutolewa kwa pingamizi ni kazi sana huwa wanajipanga kuepuka hila zote za magamba
   
 18. kombati

  kombati Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mfa maji haishi kutapa tapa....watajuuta
   
 19. lelooo

  lelooo JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  wao wanaela,polisi,mahakamaccm, chadema wana Mungu,Mungu hajawai kushindwa kamwe
   
 20. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
Loading...