Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

Boooongeee

Member
Apr 4, 2012
19
3
Nakumbuka Kauli ya mwisho ambayo Mwalimu aliwahi kuitoa kuhusu Mzee Mtei Edwin pale nyumbani kwake Msasani, aliguna sana baada ya kusikia Mzee Mtei na wenzake wameanzisha Chama cha Siasa...

Alisema...."..Heeee,Ina maaana Mtei bado anaendeleza nia yake ile ile ya toka zamani...?? Haya kila la kheri kwao..
 
Unamaana alipata baraka za mwalimu, ndo maana cdm inawasumbua ccm
 
japo mwalimu Nyerere alitutendea mengi mazuri,si kila kitu sasa awe ndio wa kumrejea,yatupasa kuchukuwa yale mazuri tu tena yawe modified kulingana na wakati huu.sasa kama alisem hivyo kuna shida gani?laiti angelikuwepo leo na kuona kazi inayo fanywa na CHADEMA angelikuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Mtei.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
zaidi ya kumfaham ka mwasisi wa cdm sina info zozote za mzee wetu mtei!mwenye historia,cv zake na mikasa na info zake zaid atujuze tafadhali kwa manufaa ya 2siomfaham kiundan!
 
Mwalimu aliwahi kusema pia kuwa CHADEMA NDIYO KINA SERA NZURI KULIKO VYAMA VYOTE VYA UPINZANI
 
Mwalimu huyo huyo alisema katika miaka 25 ya urais wa tz,alitenda mengi mazuri na mabaya,LAKINI watz wanaenzi mabaya na kuacha mazuri!
Pia alipata kutabiri kuwa CDM itakuja kuisumbua sana CCM na kuchukua dola!
MY TAKE:Kumuenzi mwalimu Nyerere haina maana ya kuish chn ya kivuli cha kifo chake,na ni subjective kwa mazingira.
 
japo mwalimu Nyerere alitutendea mengi mazuri,si kila kitu sasa awe ndio wa kumrejea,yatupasa kuchukuwa yale mazuri tu tena yawe modified kulingana na wakati huu.sasa kama alisem hivyo kuna shida gani?laiti angelikuwepo leo na kuona kazi inayo fanywa na CHADEMA angelikuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Mtei.

Imekaa vizuri hii.....nakumbuka mchonga alishawahi kusema ccmafsdi sio mama ake hivyo anaweza kuhama tuuuuuu while kahawa akaapa kamweeee hawezi kuiacha ile mafisadi crew......................................Magamba full kupotea
 
zaidi ya kumfaham ka mwasisi wa cdm sina info zozote za mzee wetu mtei!mwenye historia,cv zake na mikasa na info zake zaid atujuze tafadhali kwa manufaa ya 2siomfaham kiundan!

Mkuu Mzee Mtei ameandika kitabu kumhusu ingia Bookshop umsome.
 
Mwlimu Nyerere aliwahi kumpigia kura ya Ndiyo balozi Paul Ndobho wa CHADEMA akiwania ubunge Musoma mjini 1995 kwa hiyo alikikubali.
 
Hivi si mkakati mzuri CHADEMA kutumia clips za Mwl. pale wanapo ongea na wnanchi?
 
Naona Wooote mmechangia kadri mlivyoilewa post hii,Ila kama upo DSM siku moja moja jitahidi upite Pale Msasani kwa Mama yetu,Mama Maria Nyerere umuombe japo dakika kumi akuelezee kuhusu hii kauli...

Kila la Kheri......
 
Hata wanaotaka
kufichua kifo chake
ni chadema
na kuna siku siri
itafichuka.
 
Naona Wooote mmechangia kadri mlivyoilewa post hii,Ila kama upo DSM siku moja moja jitahidi upite Pale Msasani kwa Mama yetu,Mama Maria Nyerere umuombe japo dakika kumi akuelezee kuhusu hii kauli...

Kila la Kheri......

wewe!!
 
Mwalimu huyo huyo alisema katika miaka 25 ya urais wa tz,alitenda mengi mazuri na mabaya,LAKINI watz wanaenzi mabaya na kuacha mazuri!
Pia alipata kutabiri kuwa CDM itakuja kuisumbua sana CCM na kuchukua dola!
MY TAKE:Kumuenzi mwalimu Nyerere haina maana ya kuish chn ya kivuli cha kifo chake,na ni subjective kwa mazingira.

Tena kuna siku alisema ccm si baba wala mama yake..... Hakuendeleza sentesi labda alitaka kusema chadema ipo njiani inakuja
 
Nakumbuka Kauli ya mwisho ambayo Mwalimu aliwahi kuitoa kuhusu Mzee Mtei Edwin pale nyumbani kwake Msasani, aliguna sana baada ya kusikia Mzee Mtei na wenzake wameanzisha Chama cha Siasa...

Alisema...."..Heeee,Ina maaana Mtei bado anaendeleza nia yake ile ile ya toka zamani...?? Haya kila la kheri kwao..

Mkuu sijajua post yako ina maana gani bt Mwalimu alikutana na Mzee Mtei na akapewa kitabu kilichokuwa kimesheheni sera za CDM.. Mwalimu baada ya kusoma alizisifia na kusema CDM ina sera nzuri na ina uwezo wa siku moja kuongoza nchi.. Hii ni kauli ambayo ilinukuliwa mpaka kwenye vyombo vya habari.. Inawezekana ulikuwa bado mdogo wewe wakati ule inawezekana hukumbuki..
 
Naona Wooote mmechangia kadri mlivyoilewa post hii,Ila kama upo DSM siku moja moja jitahidi upite Pale Msasani kwa Mama yetu,Mama Maria Nyerere umuombe japo dakika kumi akuelezee kuhusu hii kauli...

Kila la Kheri......

mimi naona hii kama mistari ya taarab tu (na personally mi si mpenzi wa taarab unfortunately).

can someone say what they want others to know?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom