Maoni: Jaji kafuta kabisa CCM Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni: Jaji kafuta kabisa CCM Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Apr 6, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi ni Kijana ambaye nimekulia Arusha na ninajua watu wengi wa Arusha wanavyofikiria. Arusha ni mji wa wafanya biashara wadogowadogo na kitu kimoja ambacho watu wa Arusha hawapendi ni maisha yao kuingiliwa. Kwa uamuzi wa Judge kutengua ubunge wa Lema wana Arusha hata wale waliokuwa hawampendi Lema hawatafurahishwa na uamuzi kwasababu ni kama vile wameingiliwa kwenye maisha na maamuzi yao ya Arusha. Kwa hasira hizi watu wengi waliokuwa CCM watapigia kura Chadema. Watu wa Arusha hawaamini watu wa Dar kabisa hata wa CCM. Huyu Jaji ameisadia Chadema kwani sasa watu wanaona wenyewe wazi jinsi Mahakama inavyotumia kisiasa maana juzi tu wameona Lusinde wa CCM alivyotukana waziwazi lakini hakuna mahakama wala mwana CCM aliyesema chochote. Sisi watu wa Diaspora tunawashauri Watanzania wote kuleta maendeleo na kupinga rushwa. Tanzania ni nchi ambayo huwezi kamwe kulazimisha demokrasia na muda wa kudanganya wananchi hata wa vijijini umekwisha. Itafikia wakati wa Majaji kupigwa mawe! kama ikiendelea hivi
   
 2. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Jaji ameshajipiga mwenyewe mawe kwa kuonyesha jinsi gani anaweza kuiweka taaluma yake pembeni na kukubali kutumika kisiasa.
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  na iwe hivyo!
   
 4. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Huyo judge anatakiwa arushiwe mayai viza kokote aliko...
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maoni yako lakini sio ya wanaARUSHA, usiwasemee wenzio!
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ndo sera za chama chenu! Hamtaki hata haki itendeke? kumbukeni kulikuwa na walalamikaji na wao wanastahili haki kama wamepeleka ushahidi wa kutosha!
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Jaji amenifanya nielewe kwa nini Mwl Nyerere alikuwa hawaamini Wahaya...
   
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Lema akirudisha jimbo,Hawa jamaa watatengua tena matokeo ya jimbo la ukonga ili waingie tena kwenye uchaguzi au?
   
 9. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tume ya katiba huyu bwn hatusemei wa2 wa rchuga ndio ukweli kama wewe unatafuta cheap popularity upate huko magamba lakini sio rchuga muulizeni sio na Nape anajua sisi sio wacheza bao bana njoo uone
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA, UCHAGUZI JIJINI ARUSHA NI KAMA ARUMERU MASHARIKI KUONYESHA CCM KWAMBA WANANCHI TUMESHAAMUA NA KWAMBA HAKUNA TENA WA KUTUZUIA KATIKA AZMA YETU

  Walalahoi WaTanzania, sote tuzingatie kauli hii:

  PIGA KURA, LINDA KURA ILI WALALAHOI TUPATE UKOMBOZI KUPITIA CHADEMA kuondokana na MAFISADI wamiliki wa CCM ya leo.

  Hongereni sana Wana-CHADEMA wa Mkoa wa Mbeya kwa kuhamasika kwenu kujitolea kuja kulinda kura jijini Arusha. Tunaomba mikoa mingine nayo ifuate mfano huu.

  Pale jijini Arusha wananchi tunatarajia kumpigia Mhe Kamanda Lema KURA ZA KUMUABISHA SHETANI FISADI ndani ya CCM ili siku nyingine wajue 'Nguvu ya Umma' si mchezo wala hainunuliwi kwa vijisenti vya hivo.

  Nguvu ya Umma mbeeellleee kama tai mpaka tunapowafikisha Waheshimiwa Joshua Nassari pamoja na Kamanda Lema mjengoni Dodoma fasta fasta kwa raha zetu.

  Tume ya uchaguzi hebu katutangazieni uchaguzi wa Arusha ufanyike WIKI IJAYO kwani tunayo hamu si kifani kuthibitishia CCM kwamba wao sasa basiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Uko sawa kijana. Ni sawa na kumpiga teke jongoo bila kujua unamuhisha anakoelekea.
  Arumeru kulishaiangamiza Ccm na kwa hili la Arusha ndo kabisa mahakama imeipausha ccm mioyoni mwa watu nchi nzima. Hata mkulu wa kaya analijua hilo.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,068
  Likes Received: 6,527
  Trophy Points: 280
  lema kajipatia umaarufu kama wa nelson mandela.
   
 13. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  niambie hao walalamikaji walikosewa nini acha upumbavu ni njaa yao inawatesa kwa niaba yetu malaya hawa.
   
 14. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi ninasema kama kijana niliyekulia Arusha. Arusha kuna neno linaitwa Gagwe na Vijana wa Arusha ni wengi ni Magagwe na hii inaimanisha vijana wenye ukakamavu na wasiokuwa na woga. Lema anawashabiki kwasababu ni Gagwe hivyo naamini kabisa kama kuna wana CCM wamefurahia hili sio wana CCM waliokulia Arusha mjini. Uamuzi huu sio mzuri hata kidogo kwa wana CCM Arusha na kama unabisha utaona matokeo yake ya Chadema kupata umashuhuri wa kuonewa.

   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tume ya katiba wewe si mzima/ nadhani una bwana ccm
   
 16. k

  kwoka New Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 17. k

  kwoka New Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaji kachukua order kutoka kwa pinda.lema alimtuhumu kudanganya bunge.
   
 18. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  It is unfortunately that the ideas of the ruling classes are the ruling ideas......
   
Loading...