Kwa tume hii: Muungano umevunjwa rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa tume hii: Muungano umevunjwa rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Apr 6, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Nimejiunga JF baada ya kuona majina yaliomo kwenye tume ya katiba,
  Upande wa zanzibar tumeridhishwa kiasi na uteuzi ingawa kuna baadhi ya watu ni watetezi wa muungano, lakini tuna furaha kwa kuwa idadi ya watetezi wa serikali 2 ni ndogo kuliko wale wanaotaka muungano wa mkataba kamailivyo kenya na tanzania. T
  unashukuru baadhi ya wajumbe wameshiriki katika mijadala mali mbali na tumeona mitizamo yao.
  Hongera sana JK, Wazanzibar sasa tunavunja muungano rasmi tuwaache na UFISADI wenu, na mtaona baada ya muda mfupi tutakuwa na maendeleo.
   
 2. R-CHUGA

  R-CHUGA Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbona kama unachora watu mkuu tueleze kama na wewe ni mmjawapo wa wajumbe kwenye hiyo tume.Una uhakika gani kwamba Muungano utavunjika.Embu tuanikie hapa jamvini wajumbe unaodhani kwamba wanauwezo wa kuvunja Muungano.
   
 3. F

  Falconer JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Walioteuliwa ni wachukuaji maoni na kutathmini maoni na kupendekeza maoni hayo taifa. Kisha itakuja kura ya maoni kuhusu katiba mpya. Hilo ndio muhimu zaidi maana hapo ndipo palipo na kazi. Tuanzeni shughuli za katiba mpya kwa moyo safi wa umoja na mendeleo. Tuziangalie fikra na chambuzi za wahusika (ambao ni wananchi) kwani wao ndio watawaliwa. Katiba ni maridhiano ya watawala na watawaliwa. Hii ni fursa ya kujadiliana rsmi kwa moyo wa kutupeleka mbele.
   
 4. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni lini sisi wabara tuliwalazimisha wazanzibar kuhusu MUUNGANO? Zanzibar mna nchi, mna katiba, mna rais wa Zanzibar ambavyo sisi hatuna. Sisi kama wabara hatujawahi hata siku moja kuulizwa tunautaka muungano au la, hivyo walaumuni viongozi wenu wa Zanziba na CCM kwa kulazimisha muungano. Na si kuanza kuzungumza as if sisi wabara tunawalazimisha au tunawang'ang"aniza wazanzaiba kuwemo ktk muungano. Kama hamtaki muungano muda ni huu tunapo jadili katiba wekeni mambo hadharani na si kulalama lalama ili Dunia ione WATANGANYIKA ndio tunawalazimisha muwe ktk MUUNGANO. KARUME alishawaambia Muungano ni sawa na koti likikubana unalivua, sasa kama MUUNGANO una wabana UVUENI. TUMECHOKA NA MANENO MANENO YENU UTANZANI CC NA NYINYI TUPO KWENYE UKE WENZA
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu imekula kwako, hivi ulitaka wachaguliwe wajumbe wanaopinga muungano? Ama kweli una ndoto za ajabu sana..
   
 6. l

  liverpool2012 Senior Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nje ya muungano kuna unguja na pemba pia kuna wazanzibara kwa jinsi mnavyo penda kuongoza amta tawalika milele.
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Chagua timu yako na utuwekee hapa, tupime uwezo wako.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh, wazanzibar?? Mnajua kufanya kazi eeh?
   
 9. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  naweza sema cjakuelewa.
  umesema wewe ni mgeni hapa jf, je unafikiri hicho ulicholeta kinajitosheleza?
  jipange kaka halafu huo utafiti wa "tumeridhishwa" umeufanyia wapi?
  hatutaki kujua wewe ni nani na unahusikaje na tume ila uuweke vizuri huo uzi wako
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280

  soma huku ndo utajua nini tunaongea. HATUTAKI MUUNGANO FULL STOP.
  HabariLeo | Mafuta kutibua mustakabali wa Muungano
   
 11. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kauli za baba yenu wa tanganyika hizo kututishia tusivunje muungano wa kionezi! nashangaa na wewe unazinukuu!
   
 12. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huu muungano bana, Ah. Agrh
   
 13. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katumwa huyo achana naye! we shee kapige tende na halua! tuache na yetu.
   
 14. M

  Makindo Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu Zanzibar wana kila kitu,katiba,rais,na bendera yao sisi hatuna hata kimoja,tume hii walijadili hili kwanza,Tanganyika yetu tunaipenda jamani mustakabali wake tunapenda kuujua.
   
 15. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,760
  Likes Received: 6,066
  Trophy Points: 280

  Mkuu kazi ya Tume ni kuratibu maoni ya wananchi na wala sio kuamua nini kifanyike au kisifanyike. Kama ni kuvunja au kubadili muundo wa muungano na masuala mengine mengi ya taifa letu ni wananchi kupitia maoni yao ndio watakaoamua. Usiionee tume bure.
   
 16. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Na siku tunapouvunja mje kuchukua vilivyo vyenu maana tutavitosa baharini! mmebadilisha historia na kuharibu kila kitu. uchumi mmeua!
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mlikuwa mmelala?

  Na mlivyowachapa kazi, uchumi wa Zanzibar utakuwa kwa mwaka mmoja tu.

  Hivi mnazalisha chakula cha kujitosheleza?

   
 18. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbatata na tungule vitatoka wapi muungano ukivunjwa, labda unataka wewe, si kila mnzanzibari anataka muungano uvunjwe.

   
 19. J

  JokaKuu Platinum Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,975
  Trophy Points: 280
  Tume ya Katiba,

  ..kuweni wakweli, hakuna muungano kati ya Tanzania na Kenya.

  ..kwa mtizamo wangu, muungano wa serikali 3 hauwezi kukidhi madai na matamanio ya wa-Zanzibari kuendesha nchi yao.

  ..YES, muungano uvunjwe, halafu Tanganyika na Zanzibar ziangalie maeneo ambayo tunaweza kushirikiana.

  NB:

  ..tayari kuna mvutano kati ya Tanzania na Kenya kuhusu masuala ya access to the land, whether to allow free access of ppl btn the eac, suala la monetary[sarafu,fedha,uchumi] union, na zaidi masuala ya mapato.
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kwa hito unataka kurudi huku..Bofya

   
Loading...