Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josephine, Feb 10, 2011.

 1. Josephine

  Josephine Verified User

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naweza kuongea hili kwa ujasiri wote kwasababu siku matukio yanatokea nilikuwa nafuatilia kwa kwa ukaribu sana.

  Watanzania imefika wakati tuondoe uwoga na kutetea masilahi ya watu na si vinginevyo,Hali hii inauma sana na inasikitisha .


  1. Jambo la kwanza waziri amedanganya ama kwa kupokea taarifa za uwongo ni juu ya ratiba iliyokuwapo na taarifa zilizotolewa.
  2. Pili juu ya wabunge wa chadema kuingia na kutoka,Huu ni uwongo uliopitiliza.

  • Taarifa ya kwanza Kikao kilihairishwa bila kujulikana nini kitafuatwa kesho yake,kwani kulingana na ratiba the day next ilikuwa ya semina kwa wabunge wote.Copy attached.
  View attachment Barua Arusha Municipal.pdf

  • wabunge waliachana bila kupeana taratibu sababu kikao kilivunjwa gafla.Lakini kilichofuata ni muendelezo wa ratiba ya what follows the next day.
  • Barua ya kuwarudisha kwenye mkutano barua ziligawiwa kwa wabunge wa CCM na TLP tu.Copy attached above.

  Naongea haya kwa ujasili kwasababu nililifatilia na kuongea na RPC kwa kinywa changu mwenyewe.

  watanzania na wanaJF ambao mnaendeleza kufanya ushabiki wakati Viongozi wakubwa wa nchi wanapotosha ukweli nijambo la kusikitisha.Najua wengine mmetumwa/ama ni wahusika naomba niseme tu the day is coming ukweli utabaki kuwa ukweli kwa Mungu anasikia,anaona na mwisho atatenda.

  Jamani Waziri anapotosha hata ukweli wa vifo vya wahanga? Nooooooooooooooooo Pinda you have gone beyond,i was among the VICTIM,sikuhadithiwa na mtu.Maneno ya kinywa chako yatakuhukumu.

  Marehemu wote waliokufa hawakuwa sehemu ya maandamano yetu.

  Waziri mkuu nilitegemea angeomba msamaha ninaushahidi wa watu waliokufa mbele ya macho yangu na taarifa zao sijui ziko wapi.

  kwanini nimeguswa na kulileta hapa,ni kwa sababu ya watu walioamua kuleta Tred ambazo zinapotosha umma nakufanya CHADEMA kuonekana ni watu wa haina flani,Lakini ukweli utabaki palepale na mwisho wa siku dhamira zetu zote zitakuwa wazi na Mungu ndipo atakapotoa hukumu yake.Kumbukeni hata wahathirika wanasoma maoni yenu.

  Nawapongeza Viongozi wangu wa Chadema wametumia Hekima kubwa kuepusha shari kwa ukimya wao.

  MALIPO NA HUKUMU ZA MUNGU HUWA NI HAPAHAPA DUNIANI.

  View attachment Kilichotokea Tarehe 17-12-2010-1.pdf

  View attachment 22680 (New)
  View attachment Majibu ya Polisi - Kiambatanisho no. 5.pdf (New)
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Well said, ngoma inogile
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kumbe pinda nae anasema uongo! jamani washamteka mafisad
   
 4. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Maadam Mh. Lema atamwaga uthibitisho wake kuwa PM amelidanganya bunge basi huo ndiyo wakati muafaka wa umma kujua ukweli wa mambo yaliyotokea Arusha.
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Yaani na PM katudanganya. Basi tumekwisha. Ila sishangai ni wale wale na Makamba na JK labda tofauti sura
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sijui ni mimi tu, naona kama attachment hazijakaa sawia! Aliyeziona vizuri naomba azipost tena jamani.
   
 7. J

  Jobo JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ha! Hata Pinda???????????! Kweli CCM imefulia
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama ningekuwa Lema ningemkabidhi spika leo hii badala ya tarehe ya wapenda nao
   
 9. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Time will always determine,pinda umepoteza uhalali wa kuwa pm,na hakika hutaepuka kikombe hiki
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Pinda amepinda.Ni fisadi tu kama mafisadi wenzake katika Chama Cha Mafisadi.Kaonjeshwa mgao wa dowans hana jinsi tena.
   
 11. Taluma

  Taluma Senior Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...nimepitia hiyo taarifa ya kilichotokea huko Arusha, kwa kweli inatia huzuni sana kwa ''ubakaji'' wa madaraka uliofanywa na hao CCM! On the other hand sielewi huyu Pinda kama taarifa za kintelijensia huwa zinamfikia au la na kama huwa zinamfikia kama zilivyo (bila uchakachuaji), naamini hata hizi zilimfikia.....the real ones! Ivi haoni aibu kusema uwongo kwa watanzania mchana kweupe?

  Huyu jamaa atakuwa mnafiki sana, wakati wa sakata la maalbino kuuwa aliropoka ''kwa uchungu'' kuwa yeyote atakayekamatwa kwa kuua albino na yeye auawe, baadaye baada ya kupewa kibano bungeni kuhusu maneno haya, alitoa machozi.......akidai eti kuuawa albino kunamtia huzuni sana! Sasa je, albino ni binadamu na wale waliouawa Arusha ni nini? wanyama? kama ni binadamu, na kama asingekuwa mnafiki na mwongo ningetegemea angekuwa na at least consistent katika kukerwa na mauaji ya binadamu......! na hivyo kulieleza bunge ukweli wa kile kilichotokea Arusha!

  Inakera na kuudhi sana, mtu mzima na kiongozi mzito kama yeye anapoamua kusimama mbele ya chombo kikubwa kama Bunge na kutamka maneno ya kisanii na uwongo kama alivyofanya huyu MP! Anaweza kuwa amefanikiwa kuwadanganya wabunge, lakini sisi wananchi tuliowapeleka huko we have nothing to loose, tunajua kuchambua mchele na chuya.....! One day this will end!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa Pinda asiwe muongo wakati bosi wake ndo bingwa wa mauongo dot com....ataibadili Kigoma kuwa DUbai kwani huo sio uongo????
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa hii kweli hali inatisha Waziri Mkuu angekuwa na busara basi angalau kidogo kusikiliza upanda wa pili
   
 14. T

  Tanganyika Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spika alifikiri anamweka mh. Lema mahali pagumu lakini ndo amefanya vizuri mambo yakae hadharani, Kweli Mungu wetu ni mwaminifu, Anna makinda aliposikia hivyo alilalamika na kuongea kwa jazba...........yote hayo ya nini? angetakiwa atulie na amwambie tu Lema awasilishe hoja yake kwa maandishi......basi, lakini huyu refa (spika) anaegemea timu moja.......yatamshinda. Pinda ni mtu mkubwa sana but anasema uongo...........hili halikubaliki, ukiwa kiongozi uwe kiongozi. Lema akiwasilisha kwa maandishi hiyo itakuwa ni hoja kamili imeingia bungeni........tusubiri...........tume itaundwa kwa ajili ya maonevu ya Arusha.
   
 15. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni mazoea na mazoe ni kwamba mkubwa serikalini hakosei. Ni lazima wabadirike na kujua kuwa sasa ni wakati wa fact tu!
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakipewa mapema wanaichakachua wapendavyo
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Machinga complex tano, over fly roads jijini Dsm! n.k
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mtujulishe nasi tuliogizani kilichozungumzwa na mh.mizengo pinda.
  Maana tunaona tu hapa taarifa kwamba amelidanganya taifa, kwani kazungumza nini?
   
 19. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hebu fikiri unapokuwa na viongozi wakuu wa nchi waongo.

  Ni Tanzania pekee kwa kweli .
   
 20. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  This time Pinda ataumbuka na unafiki wake..alidanganya pia account zake zina Tsh 25 million
   
Loading...