Watu wa Mbeya wamejitolea kuja arusha kusaidia CDM kulinda kura, Nipashe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa Mbeya wamejitolea kuja arusha kusaidia CDM kulinda kura, Nipashe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Apr 6, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Katika maoni ya wananchi kutoka Nipashe, watu wa Mbeya wamesema watajitolea kuja Arusha kulinda Kura.

  source: :: IPPMEDIA
  Kichwa cha habari: Wananchi wazungumza kuhusu hukumu

  Pia hukumu imepingwa kwa asilimia 90%

  So mahakama zetu ziwe macho na watawala, wasije kutumiwa kama toilet paper kwa malengo ya kisiasa.

  Wananchi sasa wanaanza kukosa imani na mahakama zetu.

  Kimbilio la wananchi lilikuwa mahakama, sasa mahakama zinaanza kuwa magumashi...

  Police na vyombo vingine vya dola ndo kwishney, havina thamani tena.

  Onyo kwa mahakama, msije kuingiza nchi kwenye machafuko.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu siye wengine siyo wanasheria, tunaomba wanaofahamu mambo ya sheria watufafanulie kama kweli Lema amezuiwa kushiriki siasa kwa miaka 5 kutokana na hiyo hukumu ya jana. Naona sasa mnazidi kutuchanganya na kuchanganyana tu, maana jana inaaminika jaji wakati akisoma hukumu alitamka kwamba Lema anaruhusiwa kugombea tena. Sasa hizi hukumu zingine zinatokea wapi? Kama kuna mtu mwenye uhakika kabisa na kilichomo kwenye hukumu tunaomba atufafanulie.
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ukweli halisi utajulikana baada ya CDM kupewa hukumu kwa maandishi, makosa aliyokutwa nayo na hatia Lema hayamzuii kugombea tena ingawa Jaji alitamka kuwa yako katika kifungu kinachotafsiriwa kumzuia kugombea. Huenda Jaji alitamka kimakosa therefore ni maandishi tu yanaweza kututhibitishia. Otherwise aibu nyingine kwa mahakama
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA, UCHAGUZI JIJINI ARUSHA NI KAMA ARUMERU MASHARIKI KUONYESHA CCM KWAMBA WANANCHI TUMESHAAMUA NA KWAMBA HAKUNA TENA WA KUTUZUIA KATIKA AZMA YETU

  Walalahoi WaTanzania, sote tuzingatie kauli hii:

  PIGA KURA, LINDA KURA ILI WALALAHOI TUPATE UKOMBOZI KUPITIA CHADEMA kuondokana na MAFISADI wamiliki wa CCM ya leo.

  Hongereni sana Wana-CHADEMA wa Mkoa wa Mbeya kwa kuhamasika kwenu kujitolea kuja kulinda kura jijini Arusha. Tunaomba mikoa mingine nayo ifuate mfano huu.

  Pale jijini Arusha wananchi tunatarajia kumpigia Mhe Kamanda Lema KURA ZA KUMUABISHA SHETANI FISADI ndani ya CCM ili siku nyingine wajue 'Nguvu ya Umma' si mchezo wala hainunuliwi kwa vijisenti vya hivo.

  Nguvu ya Umma mbeeellleee kama tai mpaka tunapowafikisha Waheshimiwa Joshua Nassari pamoja na Kamanda Lema mjengoni Dodoma fasta fasta kwa raha zetu.

  Tume ya uchaguzi hebu katutangazieni uchaguzi wa Arusha ufanyike WIKI IJAYO kwani tunayo hamu si kifani kuthibitishia CCM kwamba wao sasa basiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi mbona jiji la Dar es salaam halina muamko wa kua moja ya chachu ya mabadiliko ya nchi hii?yaani majiji yote yako mbele kasoro Dar tu
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Chadema for life.
   
 7. p

  plawala JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga kura,linda kura,simamia kuatngazwa mshindi!
   
 8. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ndiyo maana hata mapinduzi ya Libya 2011 yalianzia Benghazi siyo Tripoli. Kwa hiyo Dar es salaam ni sehemu ya kumalizia tu.
   
 9. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni wazee wa michongo na dili wanafurahia mifumo ya kifisadi na ujanja ujanja wakiingia watu makini wanaopenda nchi yao itakula kwao yaani kushney​
   
 10. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwa kuwa ni wazee wa michongo na dili mfumo uliopo unawafaa zaidi wakija watu makini wanaotaka kujenga nchi itakula kwao ya watakuwa kushney
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  DSM usanii mwingi sana!
  Kama commercial hub ya Tz mnatutia aibu bse ilibidi ndo muwe mbele kwa mabadiliko!
  DSM ata Arumeru wanawashinda?
   
Loading...