CCM na hila ya kupora majimbo yaliyochukuliwa na CHADEMA kwa kutumia mahakama

Feb 8, 2012
92
8
Wana CDM CCM inafanya kila njia kuyachukua baadhi ya majimbo ya ubunge ya CDM.Baada ya Lema hatujui nani...labda Mnyika au Tundu Lissu.Pamoja na hayo uhakika wa kuchukua tena jimbo la Arusha ni 100% hata CDM ikisimamisha jiwe.CCM haiwezi kupambana na NGUVU YA UMMA.Nasikia serikali yote itahamia Arusha kipindi cha kampeni....CCM wameweka mikakati mikali sana ya kulitwaa jimbo la Arusha.Tena kwa gharama yeyote...ha!haaa!haaaaaaaa!....wanajidanganya.
 
Kama wapo tayari kuuza nchi yote ya Tanzania kwa kuipata Arusha sawa lakini kwa kusema tu eti kwa gharama yoyote haotoshi.
 
PIGA KURA LINDA KURA kama arumeru ndo formula yetu.
CCM wanaruka sarakasi na taulo - by dmayola(Jf member)
 
kuanzia jana naona watu wanarekebisha vipigia kura wanaviweka lamineshen wengi wakiwa nivijana.kazi itakuepo arusha langu jicho

Nimeipenda hii, hata kama sintapiga kura, nitatoka Moshi kuja Arusha kulinda kura za chama changu, CHADEMA.....Kama nilivyofanya ARUMERU.....
 
kuanzia jana naona watu wanarekebisha vipigia kura wanaviweka lamineshen wengi wakiwa nivijana.kazi itakuepo arusha langu jicho

Mkuu usinchekeshe kwamba tangu jana kumekuwa na foleni ya ghafla hasa vijana kupigana vikumbo kwenye "stationeries" waki-laminate vipande vyao vya kupigia kura! Kweli Arusha siyo mchezo; kazi ipo. Kama ni kweli, basi mwamko wa kisiasa uliopo nchini sasa unatisha.

WHERE IS MY GUN? - Jacob Zuma.
 
Busara yaitajika zaidi Arusha.......nazani uongozi utakuja na mkakati yakinifu ili kupangua mitego iliyowekwa
 
Back
Top Bottom