Lema akabidhiwe operesheni 'MOVEMENT 4 CHANGE' itakuwa hata zaidi ya Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema akabidhiwe operesheni 'MOVEMENT 4 CHANGE' itakuwa hata zaidi ya Arusha mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Apr 6, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Habari zenu! KAMA chama cha demokrasia na maendeleo chadema kitajiridhisha kuwa Kamanda Lema ana mtego unaomnyima kugombea tena basi akabidhiwe rungu la nchi nzima la M4C maana wanadhani wamemkomoa kumbe ndo wanaipa fursa chama kumfikiria zaidi.HAYA NI MAOMBI YA WAPENDA MABADILIKO NCHINI.
   
 2. a

  admiral elect Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  najua watatafuta kila mbinu ili asigombee na ikiwa hivyo naunga mkono hoja ya kukabidhiwa M4C.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Naona pigo la mahakama limewachanganya kweli kila mtu anakuja na single yake...poleni makamanda.
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri! na ikiwezekana agombee nafasi zile za udiwani zilizoachwa wazi na wale madiwani wa chadema!
   
 5. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri, viongoz wa kitaifa kesho mukija na feedback ya mlichoamua pale NMC, kama lema hatogombea bac akabidhiwe rungu hili la M4C.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe pia linakuchanganya manake pamoja na maamuzi ya kijinga ya mahakama ya ccm bado mnaumiza vichwa mtaipataje arusha!..

  Hapa hata mumlete JK jimbo mtalisikia kwenye radio. ..

  Endeleeni kumtafuta aliyemsafi aje arusha tumsulubishe kwenye sanduku la kura .. . Jana ilikuwa Kinana, leo Mwakasege, kesho....
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lema anatakiwa ajirekebishe aache siasa za ubaguzi na uhuni

  Otherwise hafai kwa kazi za jamii..akafuge nguruwe kule kwao..
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa kuna hali tata ktk hukumu ya kumvua ubunge wa arusha mjini hatua itakayomzuia kucontest,tunapenda kama wapenda demokrasia nchini impangie lema kazi makao makuu hasa ktk Vuguvugu la M4C coz kamanda lema ana comfising power na nchi nzima inamwelewa kwa makeke yake.MAGAMBA WAMEJIPALIA MKAA KWA KUMTEMA ARUSHA,SASA TUNATAKA APANDISHWE AENDELEE KUWAZODOA..nawasilisha mjadala ndani ya chadema.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Slaa kamata rungu a town,kesho tutapaza sauti zetu NMC uzisikie.tupo tayari kulinda kura kama meru
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwetu wenye ufinyu wa mawazo kama wewe wanaitwa balafu unanilazimisha nami nikuite balafu wee magamba ndowanao hangaika hawapati usingizi kuhofia cdm kama hamjachanganyikiwa mnapanga mipango kabula haijakamilika inavuja na kuwafikia cdm na wananchi mfano hukum ilifahamika mapema
   
Loading...