Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kayoka, Apr 5, 2012.

 1. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Napenda kuwaeleza kwamba, haya yote yanayomkuta Lema ni kutokana na nyie kutumiwa na mafisadi kuweza kukandamiza haki ya mnyonge.
  Tazameni sasa damu yetu wana Arusha inaenda kumwagika wakati wote wa kampeni mpaka uchaguzi ujao hapo Arusha.
  Mmekubali kutumika ili kuweza kumkomoa lema lakini kumbukeni kwamba nguvu ya umma kamwe haiwezi kuzimwa na nyie. Kitu gani kiliwawasha mpaka mkafanya hivyo?
  Anyway MUNGU yupo one day atakuja kudhihirisha ukweli juu ya jambo hili.
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  kwa kweli imetuuma sana kuona watu wachache wanatumika kudhurumu haki ya umma.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  fisadi walijua watashinda arumeru wakaandaa mazingira ya rushwa ili waje arusha mjini lakini wajue arusha mjini wataisikia kwenye redio.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  CCM watakoma ...........hawapati kitu
   
 5. g

  godliving nicholaus New Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani hawa!!!!!
  anyway hata wafanyeje jimbo la Arusha mjn litabak kuwa la Chadema!!!!!!
  peoples power
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Habari wana jf.
  Ndg zangu kutokana na hali halisi iliyotokea pale Arusha leo juu ya kumvua ubunge mh Lema hiyo inamaanisha kwamba jimbo liko wazi,sasa nami nimeamua kuingia kwenye kinyan'ganyiro hicho kupitia chama changu.Maana maisha ya udaktari yamenishinda,kila kukicha migomo tuuuuuuuuuuu!!!
  Sasa jee nikipata nafasi ya kugombea akina mama hapo mbele mtanipa?na akina baba hapo nyuma mtanipa?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!

  wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
  waliomuua Lema.jpg
   
 8. m

  mussamutagaiwa Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lema alishtakiwa na Makada watatu wa CCM, Mussa Mkanga (55), Happy Kivuyo (49) na Agnes Mollel (44) tunaomba CCM wamteuwe mmoja wapo agombee ubunge Arusha
   
 9. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Biashara biashara imewadia katika mji wetu wana wa arusha! tukashone mashati ya magamba na suluwali nyeusi tumeze mihela halafu siku ya majumuisho tunakomaa kwenye Kombati.
  This time ndiyo huwe mkakati! si unajua ****** aliondoa mikutano ya kimataifa hapa baada ya kuchagua cdm pesa ikapotea town sasa this time tukae kibiashara zaidi tujiunge na sisiemu kwa wingi tubonse mihela halafu mwisho teh teh teh! Pipoooooooooooooooooooooooooooooooo!
   
 10. g

  godliving nicholaus New Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa ww n chadema au??
  kwa maana kama c chadema umefulia!!!!!!!!!!!!!!!!!!:shut-mouth::smile-big:
   
 11. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  lema anatosha kwa maoni yangu, hebu tusaidie kutibu ndg zetu. Kama una ona migomo mibaya we usigome tu naamini utasaidie wengi. Asante kwa kunielewa
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Si kupitia chama changu jamani?ntakitaja baadae.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Angalia usije ukapata kura 22 kama APT.
   
 15. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Niko Arusha, hivi huu ulinzi mkali namna hii ni dalili kwamba walikuwa wamejua matokeo ya hukumu?. Mahakama zetu haziaminiki? Je si kwamba polisi walikuwa wanajua matokeo. Nimhesabu polisi wanafika 200! Ni hatari tupu.
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM ilishasambaratika yenyewe ndani baada tu ya kichapo pale Arumeru Mashariki, na sasa Arusha mjini itakuwa ndiyo mwisho wao. Arumeru walienda na sera ya matusi, sijui Arusha watakuja na kipi tena; maana udini walijaribu Igunga ukafeli, matusi Arumeru yamefeli!!!!!! Arusha ........!! yetu masikio.
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Namsubiri atakefungua mkutano wa kampeni wa ccm anipe kadi ya uwanachama ha ha ha ha!
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nimeongea na mwana CCM mmoja hapa DAR ni mtu mwenye nafasi kubwa kidogo lakini kwasababu ni mtani wangu nimemuuliza je mnategemea kushinda Arusha akanijibu wao Wanaamini hawatashinda ila wanataka CHADEMA watumie mda mrefu kuhangaika na chaguzi ndogo na fedha kidogo walizo nazo zitumike kughalamia kesi na hizo chaguzi ili ifikapo 2015 wawe hoi kifedha waburuzwe tu kama Mizoga.
   
 19. N

  Njaare JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukiondoa herufi e kwenye jina lako unaonekana wewe ni Magamba.

  Ili uweze kugombea jifunze kuandika kiswahili fasaha. Sii udaktali ni udaktari.
   
 20. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wana jf tupo wangapi mpaka nipate 22 mkuu?
  Kwanza sina shida ya kwenda UNGA LTD,namaliza kampeni zangu hapa hapa jf.
   
Loading...