Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The EAC charter puts people at the centre of integration efforts, but the welfare of East Africans themselves has not improved dramatically By Christine Mungai Posted Saturday, April 7 2012...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Sauti kama vile casseti imemwagiwa maji au cd ina strach ni aibu mavi kabisa. Hii si ni tv ya umma mbona Arusha hawajatwambia magamba wanaitumiaje mahakama kuwanyonya walipa kodi. kumbe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
MWENENDO wa uchaguzi wa viongozi ngazi za shina unaoendelea ndani ya CCM wilayani hapa (Bunda), unadaiwa kuingia dosari baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kususia kugombea kwa madai kuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
CCM oyeee Oyeeee! Mh mwenyekiti wa chama, waheshimiwa viongozi wenzangu na wanachama wenzangu, nataka nianze kutofautiana hapahapa jukwaani na wenzangu, habari ya sisi kutukanwa halafu...
11 Reactions
105 Replies
10K Views
Hatimaye rais wa Malawi amefariki baada ya kuzushiwa kifo tangu alipopatwa na 'cardiac arrest'.Amefia Afrika ya kusini. Source: Star tv
1 Reactions
154 Replies
12K Views
Let me start by cutting through the chest, kusema tu Lema alitukana hakutoshi inabidi uthibitishe kauli yako kwa kuionyesha mahakama jinsi alivyotukana na kwa kuwa jaji na wahusika wengine...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Baba jk nakupongeza sana kwa tume nzuri ya katiba uliyoichagua isipokuwa wasiwasi wangu je utakubali watakayopendekeza? Baba naanza kuamini kuwa washikaji zako ndio waliokuangusha lakini wewe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kumkumbusha Rais wetu Dr. Slaa kutimiza ahadi yako uliyoitoa wakati wa kampeni za uchanguzi ukiwa mjini njombe kuwa kama hutachaguliwa kuwa rais basi utakuwa na muda wa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
MAKAMANDA! Ukienda kule kwa Mithupu celebrety wetu yupo busy na kurekodi video na waBrazil. Hivi matatizo ya waTanzania yatatatuliwa na Ucelebrety???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maovu, matatizo na uongozi mbovu wa CCM ni neema na mtaji mkubwa kwa CHADEMA. Niwakumbushe jinsi mtaji wa CHADEMA unavyopatika kutokana na maovu yafuatayo:- EPA, DOWANS, MELEMETA, UDANGANYIFU WA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tatizo kuu la msingi ambalo nisiposema dhamiri yangu itanihukumu na sitakaa kimya kwa sababu wengine wameamua kukaa kimya. Jamii ya Tanzania iko kwenye ugonjwa mkubwa na tusipoudhibiti huu...
27 Reactions
124 Replies
11K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho...
50 Reactions
250 Replies
46K Views
Opportunity cost ni the next best alternatiive. Cdm wana mawili; kutaka rufaa ama kukubali matokeo na kurudia uchaguzi. Kwa mtazamo wangu, kurudia uchaguzi ni gharama sana kwa upande wa muda na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya hukumu ya kupinga matokeo ya Ubunge Arusha Mjini kutoka na Mh. Godbless Lema kuvuliwa Ubunge, nimesikia kauli ya Mh. Godbless Lema na Viongozi wa CDM kuwa wako tayari kutokata Rufaa ili...
9 Reactions
64 Replies
6K Views
Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF nadhani sasa ni muda muafaka wa kujadili nini kiwemo, nini kisiwemo katika katiba mpya inayo kuja. Bila shaka kubwa orodha ndefu ya mabadiliko tunayoyahitaji yaiongoze nchi yetu miaka...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wanabodi, Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha kumvua ubunge Godbless Lema jimbo la Arusha Mjini. Tunaomba wanasheria wetu watufahamishe hatima ya Lema kwenye mikopo yake wakati alipokuwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Tanzania ndo tumefikia hapa!!!!! Yaani kumbe magamba walikuwa wanamtafuta Ezekia Wenje. Nimesoma katika magazeti ya Jana. Kwa hiyo sasa siasa ni kuwekeana sumu na kuuwana jamani. Jamani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na kushidwa kwa .M.Buriani kushidwa kwenye uchaguzi 2010 hatimae aliandaa watu kwenda kumpinga mahakamani jembe lema na kufanikiwa.Hivi wadau lowasa ana Mungu kweli?Si ni devol anaesimama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
- Wananchi wote JF, twendeni sasa kuelekea kwenye mwisho wa Mbio zetu za Ubunge wa EAC: Tuwapigie Wabunge wa Jamhuri kuwaomba kura zao wapigie mabadiliko, wapigie Change! Wapigie Taifa kwanza na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…