Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,884
- 32,282
Wanabodi,
Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha kumvua ubunge Godbless Lema jimbo la Arusha Mjini.
Tunaomba wanasheria wetu watufahamishe hatima ya Lema kwenye mikopo yake wakati alipokuwa mbunge itakuaje.
Lema alikopa Sh90 milioni kwa ununuzi wa gari, pia alikopa Sh50 milioni kama mkopo binafsi...hizi pesa zitalipwa vipi wakati hayupo tena bungeni.
Na bunge litampa kiinua mgongo cha Sh43 milioni kama wanavyopewa wabunge wengine wakimaliza vipindi vyao vya miaka mitano bungeni.