Tbc vipi matangazo yenu hayana sauti waha jamaa ni aibu ya taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc vipi matangazo yenu hayana sauti waha jamaa ni aibu ya taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 7, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sauti kama vile casseti imemwagiwa maji au cd ina strach ni aibu mavi kabisa. Hii si ni tv ya umma mbona Arusha hawajatwambia magamba wanaitumiaje mahakama kuwanyonya walipa kodi.

  kumbe nimegundua kujitoa muhanga ni rahisi sana kitajawaka moto tukose wote
   
 2. H

  Hobic11ac Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hakuna uwezekano wa kurudisha tido maana kila kukicha nafuu ya jana, mi nilidhani ni tv yangu kumbe ni uozo wa tbc.
   
 3. n

  ngulimi's son Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata mim nmeona, kna baadh ya habar za kwenye highlight hazjaonyeshwa kabisa
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wera!weraaaaaaa! laana mbaya!dhambi ya ubaguzi inawaumbua!kwi!kwi!kwi!tbccm hoyeeeeeeee!
   
 5. m

  mkatangara Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC mnaboa bwana! kama hamuwezi kazi kaeni pembeni bwana tuweke watu wengine. Tunauchungu na shirika letu!
   
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Tena kuna wakati unaona tofauti kubwa kati ya jinsi mtu anavyotamka vinapishana na sauti!
  Kwa kweli TBC1 sasa ni tatizo!
   
 7. j

  julisa JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wangekua na akili waachane na live broadcasting..
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kwetu tunasema radio imemwagiwa 'rubisi' ...za kitaifa habari tatu na ndani ya dakka 10 inakuwa imekwisha wakati ITV wanakwenda hadi dakka 30
   
 9. Jaji

  Jaji Senior Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naumia sana jinsi kodi ninayokatwa inavyoshindwa kuninufaisha. Jamani sitamani hata kuiona tbc katika list ya station. Wanafanana na clouds.
   
 10. m

  mchongi Senior Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  yaani utadhani hawana fundi mitambo.. ovyo kweli
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani hujasikia kuwa tbc iko hoi bin taaban?
   
 12. S

  SI unit JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mbona hawajarusha habari ya mkutano wa CDM
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Eti saa kuanzia saa tatu kamili watakuwa na kipindi maalumu cha wasifu wa mcheza filamu marehemu Kanumba! Ngoja niangalie mchezo wa Cricket kati ya West Indies na Australia ukitangazwa toka Barbados kupitia S6.

  Kama hakuna sauti wala vipindi vya maana nifanye nini sasa.
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wamesusa! Nadhani hawatendi haki manake hiki ni chombo cha umma hakitakiwi kususa.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Poleni mnaoendelea kutazama tbc...
   
 16. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Halafu yule **** wa jana kwa stairi hii anawatukana watu wa arusha wahuni,
   
 17. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  a kweli TBC mnatia aibu sana, napatka shaka na ubora wa hao fundi mitambo na uongozi mzima kwa ujumla
   
 18. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Tbc aibu yenu, Tbc mnaelekezwa kufanya ovyo hivyo? Au? Kodi zetu zinawafanya mfunge tie, haya gharagabaho!
   
 19. kimunyesam

  kimunyesam JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  jamani mimi nimesikitishwa sana na mwenendo wa hii tv,natumia startimes niangalie wapi habari za kitaifa? tbc wakiweka habari ni kituko nafikiri casseti zao head zimekwisha! tido i missed u so much
   
 20. p

  papillon Senior Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tido kaondoka na remote control. Habari bora ch ten na itv
   
Loading...