Yaliyomkuta LEMA ARUSHA NI DUA ZA TLP NA MAWAZO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyomkuta LEMA ARUSHA NI DUA ZA TLP NA MAWAZO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Apolinary, Apr 7, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je alifanya nini TLP mpaka akatoweka na kukimbilia CHADEMA? Kwanza kabisa lema alikuwa mwanachama wa TLP tangu mwaka 2000 ilipofika mwaka 2005 chama cha TLP kikamteua kugombea kiti cha mbunge katika jimbo la Arusha mjini Hatimaye uchaguzi ukafanyika na matokeo yalionyesha kuwa mgombea wa TLP alishinda. Lakini aliyekuwa mgombea wa chama cha mapinduzi ndugu FELIX MREMA Alimhonga lema shiling za kitanzania mil 100 akubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi na lema akapokea ela na kiti cha ubunge kikarudi ccm Chama cha TLP kupitia mwenyekiti wake waliamua kupinga matokeo hayo wakidai mgombea wao ndiye alishinda ni kweli lakin lema akamaliza ile bila viongoz wake alaf akaenda cdm
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hamuishiwagi hadithi za kutunga! Andika script uwapelekee wasanii wakacheze sinema unaweza pata hela!
   
 3. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umemaliza ? au hadithi inaendelea ....
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 5. by default

  by default JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kudadeki mbona ihi ni kama heading tu mkubwa jitaidi kuweka minofu walau 2pate pa kutafuna
   
 6. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Unaumwa ni bora ukatibiwe.
   
 7. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 8. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa kutupa taarifa njema, umetufumbua macho sasa!
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  what does that have to do with anything going on right now?
   
 11. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  2005 mbunge alikuwa felx mrema au batilda buriani?acha uzushi usio eleweka
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,882
  Trophy Points: 280
  Mkuu usipoteze muda kwa mzushi
   
 13. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli magamba siku hizi mmechanganyikiwa...
   
Loading...