Baba JK katika miaka saba walau kwa hili umenifurahisha

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
Baba jk nakupongeza sana kwa tume nzuri ya katiba uliyoichagua isipokuwa wasiwasi wangu je utakubali watakayopendekeza? Baba naanza kuamini kuwa washikaji zako ndio waliokuangusha lakini wewe ulikuwa na nia nzuri juu ya taifa lako nakumbuka kitambo kidogo nafikiri ilikuwa december 2005 ulipokuwa unahutubia bunge baada ya kuapishwa kwa mara ya kwanza kuwa rais, ulisema maneno yaliyonigusa sana kama sikosei ulisema "i will be smilling in face but i will be very serious in issues" sina hkika kama iko sawa maana ni muda mrefu nafikiri ile ndio ilikuwa vision yako nashindwa kuelewa ni yepi yaliyokusibu ushindwe kusimamia kauli ile? Maana yaliyotokea kipindi hiki cha miaka saba najuuta kukufahamu! Rekebisha mkuu this is your second chance tusikuhukumu ukileta katiba nzuri tutasahau madudu yote waliyofanya washikaji zako akiwemo jaji wa arusha na tutakukumbuka daima kwa taarifa mkuu hatuna cha kukumbuka kwa sasa zaidi ya ufisadi wa washikaji zako please don't loose this chance

thanks
naililia tanzania nchi inayojengwa na wenye moyo na kuliwa wenye choyo
 
sasa TZ baba wa taifa ni rostam, babu wa taifa ni ma-mvi.... tutakoma watz
 
Tehe tehe! Baba Rostam, Babu Mamvi, mjukuu Lusinde. Binamu Chenge, Shangazi Bi Kiroboto, kiongoz wa ukoo So.k.we. Du hiki ni kizazi cha LAANA. ARDHI HAITAWASAMEHE DAIMA HATA WATAPORUDI MAVUMINI.
 
Harufu fulani ya mavi ya kijani gamba limeshaingia nayo jamvini!!mh!mh!natoka nje mara moja.
 
Kwakweli uteuzi watume alitulia baba Ridh!Yoote yasemwe,pale kaweka vichwa bwana!Mashaka ni je,ataridhia matokeo yatume?Kwauteuzi ule kuna watu hajalala wanawaza matokeo!Isije ikawa ya Mwekyembe na Rich-Mund!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom