Bado huyu jamaa wa Bagamoyo
Mi sishabikii mtu kufa, hata kama angekua bosi wa freemasons duniani. RIP Bingu
unamaanisha baba mwanaasha?Bado huyu jamaa wa Bagamoyo
Eti amefariki rasmi! Huyu jamaa alifikiri ataishi milele nini? Amefanya mambo ya hovyo sana Malawi. Let him rest in peace and enjoy the fruits of what he had done for Malwi
Mwenyekiti wetu?Hii ni habari njema na zawadi ya Pasaka kwa watu wa Malawi, bado nanihii................
Bado huyu jamaa wa Bagamoyo