Maovu ya CCM ni neema ya CHADEMA

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
Maovu, matatizo na uongozi mbovu wa CCM ni neema na mtaji mkubwa kwa CHADEMA.
Niwakumbushe jinsi mtaji wa CHADEMA unavyopatika kutokana na maovu yafuatayo:- EPA, DOWANS, MELEMETA, UDANGANYIFU WA UNUNUZI WA
RADA, JAIRO NA WIZARA
YA nishati na madini, UWIZI
WA WANYAMA HAI
MWAKA WA JANA, HATI
CHAFU HALMASHAURINI, na hatua zilizochukuliwa na
majaji na mahakimu
hawa hawa
wanaomhukumu Lema na
ushahidi hewa
unaoshindwa kuthibitika kisheria. Lakini pia
umenikumbusha kifo cha
Mwl Nyerere na Abeid
Aman Karume mwasisi wa
Zanzibar na utata wa vifo
vyao, mikataba mibovu ya madini, ubambikwaji wa kesi
unaofanywa na jeshi la
polisi, ukiukwaji wa haki za
binadamu, jaribio la kutaka
kuwaua wabunge wa
upinzani( Hainess Kiwia na Salvatory Machemli) na
serikali, uhalalishwaji wa
Rushwa,...uwepo wa
majeshi yanayolipwa na
wananchi wakati
hayawatumikii mfano police-ccm, takukuru-
ccm,
usalama wa taifa-ccm
pamoja na Greenguard-ccm.

Haya na mengine mengi, ni NEEMA ya CHADEMA katika ushindani wa Kisiasa
 
Kwa hayo na mengine mengi; huu unakuwa utabiri tosha wa mwanzo wa kuisha kwa CCM
 
Leo hii Askari walikuwa wakitoroka wananchi huko Arusha kwa kuwa maovu ya CCM yanawaathiri
 
Back
Top Bottom