Kwanza naomba niweke wazi kwamba mimi ni shabiki wa "mabadiliko" na nina amini kwamba mabadiliko yatakuja kwa kuiondoa CCM madarakani. Siamini kwamba hawa wanaojiita wana mabadiliko ndani ya CCM...
Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule...
Nimeomba msaada wenu au hata Nape mwenyewe anisaidie.Wao wanasema wako bize kuwaletea watanzania maendeleo na kitu chema husimamiwa .
Nape na vyeo 2 hakukataa kwamba atazidiwa hapana amekubali...
Ndugu wana JF,
Jana katika harakati za kampeni za uwakilishi wa Tanzania katika bunge la EAC, Mh. Mwakyembe alitoa hoja nzito sana bungeni, Nazani ni wakati mwafaka sasa kwa walio wahi kuwa...
Mh. J. Makamba leo ameuliza swali ambalo msingi wake tulio wengi tuliokua tunaangalia uchaguzi wa wabunge EA hatukuelewa nia yake.
Kauliza "nukuu": Anaomba ashawishiwe na mwanamama daktari wa...
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake, kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira...
Wengi tumejitenga na ukweli unaouzi. Katika kuunda tume ya katiba JK Ameshindwa kuepuka shinikizo la Redio Imani na Gazeti la al-nuur.
Ubaya tumefundishwa kuchukia DINI na si UDINI! MFANO...
Wanajamvi hebu nisaidieni hli swali kwa kuchagua jibu sahihi.
Hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyomvua ubunge Godbless Lema wiki mbili iliyopita hadi sasa nakala yake imeshindwa kutolewa, sababu...
Tanzania's debt soars to $700b
Saturday, 07 May 2011
DAR ES SALAAM, TANZANIA - Tanzania's national debt - external and domestic debt - has soared to US$700 billion in 2009/10 from a low of $507...
Mh: PERPETUA NDERAKINDO KESSY Mbunge Mteule Wa Bunge La Afrika Mashariki Kutoka NCCR Ambae Pia ni Lecture UDSM In MATHS AlijieLeza (mwaga SERA) Vizuriii SANA Had niLipenda, Naomba AKAPIGANIE...
Ndugu zangu,
Siku ya leo imekuwa na ushindani mwingi. Tangu saa tatu asubuhi kumekuwa na hali ya wagombea Ubunge Afrika Mashariki kujieleza na kuulizwa maswali.
Na usiku huu Bayern Munchen...
Ninamaswali yakuuli jamii kwanza na anza na hili la baadhi ya Wazanzibari kuukataa muungano???Kwanza mimi sielewi kwanini baadhi ya wazanzibari hawautaki muungano kwani mimi binafsi naona...
Watoto wa maskini hawana chao nani anakujua?Elimu ya mtoto wa maskini anaipatia kwenye shule za kata Saint Kayumba atazungumza Kingereza kipi wakati huko hakuna taaluma?Mgombea anapaswa awe na...
na Tamali Vullu, Dodoma
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amemuumbua Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga, kutokana na kukwepa kujibu swali la mbunge wa...
Hii mwaionaje wakuu sababu kuna kesi nying zinatokea huku kwetu ktk kijiji cha ntuchi mkoan Rukwa watu wamekuwa wakishikana uchawi na kuchukua hatua stahiki lakini serikal inaingilia kati na kudai...
Chadema will never Change Tanzania as their M4C states,Tanzania will be Changed by Tanzanian themselves.
We all know the followings
{a}.Changes begin with us:We people of Tanzania regardless...
Kila jambo kwa siku hizi wakiamua at the end CDM wanaemerge winners, hivi wana jf mmeishawahi kujifikilia ni kwa nini? Na Je hawajifunzi kuwa wakati huu haki ndio hutawala udhalimu?
Cases, kama...
Msimamo wangu juu ya Edward Lowassa na watu wake wote unafaahimka wazi. One of such people ni James Millya. Yes amehamia CDM lakini swali langu ni je atakuwa mwaminifu zaidi kwa Edward Lowassa au...