Kwanini baadhi ya wazanzibari hawaupendi muungano?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini baadhi ya wazanzibari hawaupendi muungano??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 12, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Ninamaswali yakuuli jamii kwanza na anza na hili la baadhi ya Wazanzibari kuukataa muungano???Kwanza mimi sielewi kwanini baadhi ya wazanzibari hawautaki muungano kwani mimi binafsi naona unamanufaa sa kwao!!
  Pili sijui serikali ya JMT nini inaogopa kutoa tamko lasimi kwa hawa watu wasiopenda huu muungano!!Nakwanini sisi tuendelee kuukumbatia wakati wenzetu tuliofunganao ndoa hawataki kwa nini sisi tuendelee kulazimisha??
  Tuwaachie wajitawale na sisi tujitawale kila nci iwe na mamlaka yao maana hapa sioni kinacholindwa kwani nikama wanasubiri siku ya ndoa basi
  Natolea mfano kwa vigezo hivi!!
  >Wimbo waTaifa lao wanao!
  >Bendera ya Taifa lao wanayo!
  >Benk ya Taifa lao wanayo!
  >Rais wa nchi yao wanaye!
  >Jeshi lao wanalo japo si JWTZ wala Polisi ni JKU japo nichini ya wizara moja!
  >Nanasikia wanataka kuanzisha sarafu yao!!

  Wakati wa hayati mwalimu hivi vitu havikuwepo na alisema Rais wazanziba ni waziri wa JMT lakini sijui hii kama bado ipo au ilibadrika wakati wa siasa za vyama vingi??
  Mimi naona bora wawa achie wajitawale!!
  Kinachoonekana hapa nikwamba ni watu waliooana lakini mume kang'ang'ania pete wewe mke wangu lakini Mke alisha ivua zamani na anatangaza mimi sina mume!1Hapo ninani anaoneka hamnazo????
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Muungano unawabania kurudi kwenye utawala wa Sultani na Hizbu. Wao wanaamini kama Sultani akirudi zenji kila kitu watakipata bure hivyo watakuwa wanashinda kucheza bao na dhumna wakisubiri sultani kuwarekebishia kila kitu. Ni uvivu wa kufikiri, bora Tanganyika yetu irudi.
   
 3. d

  davidfrance82 Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  moja ya topics nzuri sana JF....hongera mtoa mada
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,837
  Trophy Points: 280
  Muungano huu unainufaisha CCM tu..........ukifa na yenyewe yafa
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu muungano huu ungeshavunjwa zamani sana, tatizo ni watanganyika ndio wanang'ang'ania sana!
  Juzi hapa kuna vigogo wa tanganyika wamekuja znz kuomba muungano usivunjwe na kuahidi matatizo kushughulikiwa katika katiba mpya!
  jana vijana wameandamana kwenye BW kutaka kura ya maoni, polisi walipotaka kutumia nguvu kamanda wao akatoa order waachwe hapo ndio utajua kuwa kuna sintonfahamu ya hali ya juu.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @KakaKiiza

  Benk ya Taifa lao wanayo! Bank ipi? PBZ? kama jibu ni ndiyo najua umiliki wa PBZ ukoje?
  Jeshi lao wanalo japo - linaitwaje?
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...labda ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ni ya kikristo. Imekuwa ngumu kuvunjika.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hata watanganyika hawaupendi.....
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Sasa kama kitu akipendwi tafuteni an alternative jinsi yakuwambia watu, ili kila mmoja aridhike kuliko kuendelea kulindalinda kwa vitisho! maana watu sikuhizi kusema hawaogopi, kwakuwa hata viongozi nawao hawaogopi ndiyo maana unaona viongozi wa juu wenye dhamna wanmwaga matusi hadharani!, je wewe unfikiri utamzuiaje mwananchi asiseme wakati wewe husemi bali unaporomosha matusi??,uongo wawazi!!inamaana viongozi mnakuwa hamuaminiki!!Tuambie nini kitafanyika ili wazanzibari wakate kiu yao kuhusu muungano pia na Tanzania bara nao wanataka kujua nini atima ya huu muungano wamechoshwa na maneno ya kejeli kutoka Zanzibar wanona kama wanatukanwa kam wao ndio wanaofaidika na muungano wakati siyo!!Sasa wakati wakujing'atang'ata umisha Litoke neno!!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hili dude linaitwa muungano linatesa sana serikali basi tu kwa nini msipasue??
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kulikuwa na ulazima gani wa kuanzisha thread hii wakati kuna mathread kibao juu ya Muungano!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Waondoke tu wanzanzibar! Kama wanataka wembe tuwape tu ukiwakata ndio watatia akili,kakisiwa chenyewe kadogoooo!!
   
 13. l

  lum JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kadogoooo ndio lakini cha kwetu tupeni tusepe
  zanzibar kabla ya muungano ilikua ikitoa misaada sio kuwa fukara km leo miaka 48 ya muungano'' is nothing to us''
  sote masikini tunaungana ili tugawane njaa au? ''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''shegesha badaeee
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Dai chako mwana wane!!Tumewachoka na kelele hakunatunachonufaika na hili zimwi!!Bora mwende kwenu na sisi tukae kwetu nikija zanzibzr nije kama navyoenda Rwanda,Kenya,Uganda!etc!
   
 15. u

  umsolopagaz Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ni kwa nini tumekuwa tukishabikia maamuzi ya mwaka 1884 ya bismark and co, na kuyabeza ya 1964 ya kambarage na karume? mawakala wa wazungu na waarabu? alrite...tukirudisha tanganyika kutoka tanzania...na zanzibar kutoka tanzania, mimi nitaunga mkono harakati zozote za kuipeleka kigoma yetu ktk mamlaka yake ya asili inayostahili...by the babu zangu hawakushirikishwa kwenye uamuzi wa kuunda mamlaka na watu wa moshi, au mtwara....tugawane mbao kikwelikweli...!
   
 16. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu nyie Tanganyika mmekataa kuhimiza ama kufanya sharia ya wanawake wote kuvaa hijab wawapo hadharani wakati Zenj kila mwanamke ni hijab japokuwa wanaume ni ruksa kuvaa suti za magharibi. Kuendelea na ndoa ya Tanzania ni uchafuzi wa mazingira ya kiutamaduni. Kwa hilo ninawavulia kofia Wazenj.
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Ahali yangu ukimuona mtu makini kabisa na timamu anatema asali na kutaka pilipili basi ujue kuna namna hapo.

  Kuna dhlma ambayo waZnz wanadhulumiwa na Tanganyika wananufaika na huo mvungano.
   
 18. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,441
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280

  Muungano wa kweli ulikufa hata kabla ya kuzaliwa,tusipende kulazimisha mambo ati kwa sababu ulianzishwa na Mwl Nyerere na Karume.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Weka wazi tujue nini mnadhulumiwa na bara ili wakati tunajadili hii mada tuwe na mashiko!!Nini hasa mnadhulumiwa nyie wazanzibar??
   
 20. Nang'olo Ntela

  Nang'olo Ntela Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Baadhi ya wanasiasa wa Znz wanawamislead wananchi wao, labda kwa kuvunjika kwa muungano wenyewe watashika nafasi za juu za uongozi (eti zinazoshikiliwa wa wenzao wa bara). Wengine wanafikiria kuwepo kwa uwezekano wa mafuta kutaifanya znz iwe kama Brunei kitu ambacho si rahisi. Lakini kama hiyo haitoshi, by strenghtening links with some Arab countries will make miracles to their economical and social wellbeing.
  Cha ajabu! viongozi hao kalibu wote (pa1 na ndugu zao) wana ardhi huku bara, enhe ukivunjika, mtafanyaje?. Vilevile over 400,000 out of 1,600,000 of zanzibaris wako bara, jiulizeni kule kwenu mtatosha? Dah nawaonea huruma waznz wa kawaida wenye ufaham mchache kuhusu hili.
   
Loading...