Hivi Nape ni Mkuu wa Wilaya gani na ina hali gani sasa ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Nimeomba msaada wenu au hata Nape mwenyewe anisaidie.Wao wanasema wako bize kuwaletea watanzania maendeleo na kitu chema husimamiwa .

Nape na vyeo 2 hakukataa kwamba atazidiwa hapana amekubali na tangia amekuwa Mwenezi sijui na vitu gani wa CCM namsikia mitaani na kurudha maneno ya kibaguzi akiwatukana wachaga na Wilaya yake iko tupu.Je na mishahara pia analipwa 2 ?

Maana kwenye Chama na Serikalini ?

Lini atafanya kazi Ukuu wa Wilaya ?

Je amesha wahi kufika huko na hata wakamuona na kumjua kwamba wana mkuu wa Wilaya Kilaza ?
 
Mkuu wa Wilaya ya Masasi... jana alikuwa UDOM anakagua Nyufa za majengo ya chuo... Sijui amegeuka kuwa mkandarasi...
 
Huo ni wivu tu, kwani Rais ametengua uteuzi wake akashupalia kuendelea kuwa DC?
 
Huo ni wivu tu, kwani Rais ametengua uteuzi wake akashupalia kuendelea kuwa DC?


soma tena na jaribu kutumia akili uelewe point ni nini hapa kama huwezi kutumia akili soma nakupita acha kuandika .
 
Nimeomba msaada wenu au hata Nape mwenyewe anisaidie.Wao wanasema wako bize kuwaletea watanzania maendeleo na kitu chema husimamiwa . Nape na vyeo 2 hakukataa kwamba atazidiwa hapana amekubali na tangia amekuwa Mwenezi sijui na vitu gani wa CCM namsikia mitaani na kurudha maneno ya kibaguzi akiwatukana wachaga na Wilaya yake iko tupu.Je na mishahara pia analipwa 2 ? Maana kwenye Chama na Serikalini ?Lini atafanya kazi Ukuu wa Wilaya ? Je amesha wahi kufika huko na hata wakamuona na kumjua kwamba wana mkuu wa Wilaya Kilaza ?

subiri akuweke ndani ndio utajua kama yeye ni mkuu wa wilaya au katibu mwenezi wa chama chake - ha ha ha ha
 
Naomba kuuliza kama Nape bado ni mkuu wa wilaya ama la? Na kama ni hivyo nani hufanya kazi zake na kwanini na yeye asijiweke kwenye kundi la mafisadi?
 
Nape Nnauye bado ni mkuu wa wilaya (DC) na anatarajia kukabidhi ofisi siku chache zijazo ili aweze fanya kazi za ccm vizuri.

source: N. Nnauye on TBC interview.

:yell:
 
Back
Top Bottom