Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frank m, Apr 17, 2012.

 1. f

  frank m Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msimamo wangu juu ya Edward Lowassa na watu wake wote unafaahimka wazi. One of such people ni James Millya. Yes amehamia CDM lakini swali langu ni je atakuwa mwaminifu zaidi kwa Edward Lowassa au CHADEMA? Akiwa CCM alijiainiasha kama mtu aliyekuwa tayari kufanya chochote alichoagizwa na Edward!

  Hofu yangu ni kuwa baada ya kubaini hawezi kuweka mbunge kupita CCM (alishindwa kwa Batilda, akashindwa kwa Sioi) sasa amebaini njia pekee ni kupitia CHADEMA! Hivyo Millya avuke huku awe mbunge wa Arusha mjini kupitia CDM.

  CDM chama kilichojiainisha kupambana na ufisadi kamwe kisikubali kuingia kwenye mtego huu. Tunafahamu Millya amekuja na mamilioni kadhaa ambayo si yake, tunajua yalipotoka, tunajua nia yake. Mh Mwenyekiti Freeman Mbowe tumeona tamko lako jana kumpokea James, nafahamu umezungukwa na watu wanaompigia debe Millya kwa sababu mbali mbali na wengine wamekuwepo kwenye chama kwa muda mrefu na unawaamini. Ninapata hofu kubwa you are being misled on this. CDM Arusha na watu wa Arusha kwa ujumla tutamkataa James Millya kama atasimamishwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CDM kama tulivyomkataa Mama Buriani tukifahamu fika ni nani kamtuma.

  Mh Goodbless Lema, usijaribu kumbeba Millya, ngoja tukuambie wazi, tunakuheshima sana na tumekupigani wewe (tumekipigania chama chetu) vile ulibeba bendera ya chama. Ukisimamishwa baada ya rufaa tutakupigania wewe tutakipigania chama chetu. Ukimleta James Millya (iwapo mahakama itakuzuia kugombea) tutamkataa yeye na jua fika your credibility will be eroded! na hiki kitakuwa kifo chako cha kwanza kisiasa, of course in "politics one can die many times"

  Kama tumekose kwa namna tunavyomwona Millya, fine give us time tujionee kuwa Millya amebadilika na si yule wa Lowassa. Tutahitaji muda kujiridhisha kuwa kweli yupo loyal to the course, yupo loyal to CDM na kweli ameachana na baba yake Lowassa. Msituletee sasahivi kwenye ubunge,

  Chonde! chonde! chonde!
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  people change.
  he might be a mole, he might have honestly switched sides.
  As Arusha resident, Milya has witnessed a wind of change.
  What if he has been, beyond reasonable doubt, swayed by the wind?
   
 3. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Itakuwa hatari kumsimamisha sasa, nadhani uwepo muda wa kumchunguza at least 5yrs. Edward is a strategist na kamwe msimpuuze,

  Millya could still be working for him!

  Mimi binafsi simwamini bado
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  pamoja mkuu @ frank.....
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CDM inahitaji wanachama ambao wako tayari kukichagua,

  Naona Nape yuko kazini.
   
 6. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Slow,slow,slow.Hawezi kupewa kugombea Arusha.Take it from me
   
 7. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Vijana wa uvccm kazini nape si alisema jana kuwa james alikuwa mzigo kwenye chama mnamfuatilia wa nini kijana wa watu????cdm inataratibu zake jamani hata kama anataka kugombea cdm ni tasisi iliyo sjiliwa kisheria sio mtu.
   
 8. w

  wakijiwe Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kama ni sahihi kwa mtu kuwa mwaminifu kwa mtu mwingine, watu wa siasa tunakuwa waaminifu kwa maslahi ya taifa sasa kama bw. millya aliingia ktk siasa kwa kubebwa na EL namshangaa.....
  kama ana nia yake binafsi ni vema Chadema wakawa makini maana siasa kigeugeu.....
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Tangu lini mgeni akakaribishwa chumbani?hawezi gombea ubuge bana hiyo iko wazi.
   
 10. Junior80

  Junior80 Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna namna nyingi sana za kuingiza uovu sehemu,CDM ni vema wajipe muda isije huyo mtoto katumwa kuyumbisha chama bureeeeee. Mbio zaidi zitumike na nyendo zake zichunguzwe vema
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu huyo atakuwa mwanachama wa kawaida wala isikupe tabu
   
 12. f

  frank m Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Stein, you are right but that does not mean wana CDM watampigia yeyote atakayesimamishwa na chama. Kwa taarifa yako Lowassa ni hatari kama CCM na tunampinga yeye kama tunavyowapinga wezi wengine na chama chao. I have nothing to do with Nape, nilikuwa na matumaini na huyu kijana (Nape) kabla hajapewa nafasi ndani ya chama ila kwa sasa I'm deeply dissapointed na sidhani kama CCM kwa sasa inaweza kutoa kijana wa maana.

  Ni chama kilicho njiani kuelekea kaburini.
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu, wanasiasa hutuma mwenzao kwa jirani zao kupandikiza chuki the ugomvi mwisho chama hukosa mwelekeo,.
  wHEN JOB WELL DONE , hurudi nyumbani.
  Sijui status ya Wasira NCCR, Nsanzugwanko nk nk
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Na safari iyo wanapitia barabara waliyoitengeneza wenyewe.
   
 15. f

  frank m Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu that is my prayer, asije akapewa nafasi kubwa mapema, labda ya kujenga chama Monduli!
   
 16. o

  obadiabula Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninachoamini CDM ina watu makini sana lakina napata hofu kubwa sana inapotokea mtu alikuwa ni mshirika mkubwa wa mtu anaetuhumiwa kuwa fisadi mkubwa anageuka kuwa shujaa ghafla et sababu tu kahamia CDM bila kujali historia yake, hili la MALYA limenipa shida sana juu ya msimamo wa CDM na watuhumiwa wa siasa chafu za fedha umakini ukikosekana namna hii ipo siku LUSINDE ataitwa shujaa.
   
 17. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Umetoa wapi hizo taarifa?. kuna gazeti la leo limemnukuu Lema akifurahi kwa kumkaribisha Millya cdm. Tena amehaidi kuzunguka nae nchi nzima kumwaga sera za CDM.
   
 18. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 533
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Amepokelewa CDM kama mwananchi yoyote yule anavyojiunga CDM, hayo mambo ya uongozi CDM ni chama makini sana hakikurupuki tu, kama hastahili hawezi kupenya.
   
 19. f

  frank m Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Gembeson, nina taarifa ambazo kwa sasa sitaziweka hapa, ikibidi nitafanya hivyo kwa maslahi ya nchi yangu, kwa maslahi ya chama changu and for the good of the course which in this case ni kuikomboa nchi yetu toka mikononi mwa watu wachache wanaoamini wao ni Watanzania kuliko sisi, wao wana haki ya kufaidi rasilimali zetu na sisi mahali petu ni kuwasindikiza na kuwaunga mkono wakitugawanya kwa misingi ya udini, ukabila na ukanda. Na kwamba ni wao tu na watu wao ndio wanastahili kushika nafasi zote za uongozi wakitumi sehemu ya fedha zetu walizotuibia kufanikisha lengo lao hilo.
   
 20. l

  lengijave Senior Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu shukrani kwa changamoto zako ulizofafanua,mimi binafsi ninamfahamu Millya na nilikuwa naye kabla haja kuwa kiongozi wa uvccm na nikapoteana nae niliporudi ndio nikakuta ameingia kwenye siasa,hata mimi naona Milya asigombee nafasi ya kumrithi Lema,watafutwe watu wengine ambao tayari walikuwa kwenye chama na wana uzoefu.Milya atakuwa mzuri sana kugombea ama monduli au simanjiro 2015 na anao watu wengi sana kwenye jamii ya wamasai,ikumbukwe chadema bado haina ngome imara katika jamii ya wamasai,na ni jamii inayo hitaji elimu sana,hasa ikizingatiwa baadhi yao hawajui kusoma wala kuandika.Japokuwa mimi sio mkabila ila chadema inakubalika kwenye dola za wameru,wachaga,wakurya,wasukuma,wa iraq,watu wa mbeya na jamii ya watu wa mjini kwenye miji yenye wasomi wengi kama Dar centre-ubungo,kawe,segerea,Iringa na baadhi ya sehemu chache sijazitaja kama jamii ya kigoma n.k
  Lakini Bado kuna maeneo bado watu hawana uelewa sana na chadema na hawajui jinsi ya kuitoa CCM,wamasai,wagogo,watu wa pwani,yaani lindi,mtwara,pwani, na maeneo yaliyo athiriwa na usultani kama Tabora,Zanzibar na Tanga.Maeneo mengine upepo unaweza badilika saa yoyote kama moro,ruvuma, njoluma,katavi sumbawanga,na singida
  Kwa hiyo kwa mawazo yangu mi naona Milya atasaidia kwenye jamii ya kimasai na Chadema wanakazi ya kufundisha demokrasia,hasa kipengele cha kupiga kura na kulinda kura na kutafuta njia stahili ya kusimamia kura za uraisi.wanaweza wakalinda kura za wabunge wakasahau kura za urais!!!!
   
Loading...