Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake, kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira zake, na hawa viongozi.

Hii ndege ndio inayomfanya kila siku kiguu na njia kwenda kwenye matamasha, ndio! hizi ni kodi zetu hizi kwa nini tunyamaze?
nchi yenya watu mili 40, haina vita ina madini na migodi mbali mbli ,ina maziwa na bahari ina vivutio vya utalii lakini haimiliki ndege, suitaki kusema kuwa kuwa na ndege ndio uchumi wako una kuwa strong but this is the source of employment also, tunashindwa kufikiria .

Hakuna faida ya hii ndege zaidi ya kututia hasara tu kwa safari zake za mara kwa mara.unafikiri ndege isingekuwepo si angekuwa nchini anafuatilia bunge? iaal hajui hata kitu gani inachoendelea na

VIJANA WA SIKU HIZI WANASEMA MWACHE ALE BATA:
 
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake , kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira zake, na hawa viongozi.
hii ndege ndio inayomfanya kila siku kiguu na njia kwenda kwenye matamasha , ndio! hizi ni kodi zetu hizi kwa nini tunyamaze?
nchi yenya watu mili 40 , haina vita ina madini na migodi mbali mbli ,ina maziwa na bahari ina vivutio vya utalii
lakini haimiliki ndege, suitaki kusema kuwa kuwa na ndege ndio uchumi wako una kuwa strong but this is the source of employment also , tunashindwa kufikiria .
hakua faida ya hii ndege zaidi ya kuktutia hasara tu kwa safari zake za mara kwa mara.unafikiri ndege isingekuwepo si angekuwa nchini anafuatilia bunge? iaal hajui hata kitu gani inachoendelea na
VIJANA WA SIKU HIZI WANASEMA MWACHE ALE BATA:

wewe unasahau kuwa kuna Mungu mtu alisema watanzania tule majani , lakini ndege ya mume mwenzake inunuliwe.
 
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
Elewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.
 
Rwanda wanalima kahawa tu hawana hata madini ya shaba lakin wana Air Rwanda zinatua hadi Bongo. Sisi tuna utajiri wa madini na vinginevyo hatuna hata kindege cha watu 6 kwenda mikoani
 
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano

Kila Nikiangaliaga Comment zako + Avatar yako huwa Nashawishika Kuamini kwamba Una Ugonjwa wa Kuanguka vile vile una Matatizo ya Akili. Sijui kwa nini napata hisia hizi, maana unaweza tu ukaibuka uka comment kitu chochote duh. Kaazi kweli kweli
 
Elewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.

Acha na Mshikaji ana Taahira ya Ubongo we Cheki Comment zake hazitofautiani sana na member mmoja anaitwa Ganesh
 
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano

sijui kama zanzibar, somalia, south sudan, zina ndege ya rais.... lakini nadhani the question here had a special meaning kuliko unavyojaribu kuleta ushabiki kivuzi
 
duh,sijakupata
Okay, umesema Rais wetu ana ndege lakini Tanzania haina ndege. Ukai blast serikali ya Kikwete.

Ndio na mimi nikakuuliza, nchi iliyoendelea kama Marekani rais wao ana ndege, air force one. Je, Marekani ina ndege?
 
Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.

Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?
 
hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tu
huwezi kuniambia kuwa ndege zilipotea au kufa au shirika limekufa kwa sababu eti hakuna abiria, abiria wapo kibao sema vichwa marais wetu ndio mabuyu
tunakufa kwa kiu baharini , huu si ni uzembe? mimi nina hasira sana juzi juzi kenya airways walinifanyia dharau kubwa sana ndio maana nimekasirika na hapa kial kikicha watu wanakuaj na malalamishi ya hii kenya airways.. kwa nini mmeua Tanzania airways?
 
Back
Top Bottom