Swali la January Makamba leo bungeni linaibua swali kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la January Makamba leo bungeni linaibua swali kwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Apr 17, 2012.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh. J. Makamba leo ameuliza swali ambalo msingi wake tulio wengi tuliokua tunaangalia uchaguzi wa wabunge EA hatukuelewa nia yake.

  Kauliza "nukuu": Anaomba ashawishiwe na mwanamama daktari wa Hisabati kuwa kwanini asifundishe Hisabati chuo kikuu maana ni somo lenye matatizo hapa nchini na badala yake anaomba ubunge EAC.

  Ili tumuelewe mantiki ya swali lake, tunaomba mlio karibu yake au yeye mwenyewe pia atushawishi na sisi ni kwanini aliomba uwenyekiti wa kamati ya madini badala ya kamati zingine kama vile ardhi na ulinzi ambazo zina conflict nyingi hapa nchini hasa kwa kuzingatia kuwa January professional yake ni mambo ya conflict kama CV yake inavyosema?
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Kwa mbali namsikia Peter Tosh anaimba "If you live in a glass house, don't throw stones".

  January anaweza kusema yeye ni blueblood na hawajibiki kujibu maswali kama mere mortals. Au akakwambia mikataba ya madini inahitaji conflict resolution skills zake.

  Kwa mtaji huu anamuonaje Makamu wake wa rais Dr. Gharib Bilal ambaye ni daktari wa fizikia aliyegombea umakamu rais wa Tanzania? Nagepata fursa angemuuliza swali hilo hilo?
   
 3. N

  Ndusty JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Swali zuri mkuu, jibu ni kwamba kwingine hakuna maslahi kama anayopata hapa alipo. Ruzuku anayoipata yeye na jamaa yake zitto buzwagi ni moja ya sababu ambayo ilimfanya awe hapo alipo. Maslahi mbele, kila mtu yuko sehemu alipo kwasababu ndipo alipopataka yeyemwenyewe na si kwasababu watu walitaka awepo hapo au kwasababu alitaka kusaidia mtu mwingine au taifa.

  Siasa ni porojo tu.
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mwezi wa kwanza kwani ukikaa kimya watu wa bumbuli watakasirika? kuliko kuuliza utumbo huu
   
 5. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,053
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Tena Fisikia ya Atomiki Nuklia! Na asinekimbilia kwenye siasa sasa angekuwa Profesa Mbobeaji wa Fani hii adimu! Hapa tunapata ujumbe gani? Kwenye siasa na sikyo kwenye taaluma, watu wametangulisa matumbo yao mbele badala ya wito kuiyumikia nchi!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona nusu ya wabunge wana fani zao!
  That question usikute alitumwa kummaliza uyo mama tuu otherwise sio swali ni uhalisia wa bunge letu kwa sasa!
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  alichagua nishati madini ili alinde maslahi ya mzungu shemeji yake kwa mwamvita
   
 8. m

  mahoza JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,241
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Peter Tosh said it all, ( don't throw stones....... .
   
 9. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  broken swahili!
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  :confused3:
   
 12. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana haki ya kuuliza na swali lake lilikuwa la msingi sana kwa kuzingatia hali halisi ya somo la hesabu nchini,hoja ingekuwa nini kifanyike ili wataalamu wabaki kwenye taaluma zao kwa faida ya taifa,hapa zimeingia siasa na chuki binafsi
   
 13. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni shwari la kawaida kwenye interview ( sijui kuhusu bungeni ) nia ya mwuliza shwari utaka kujua kama uko interested na hiyo kazi au mshahara husika........nliwahi ulizwa shwari kama hilo mahala flan cuz nliomba nafasi yenye ulaji ila tofauti na fani husika ingawa nafanyia kazi fani hiyo so it was easy for me!!!
  Jibu lilikuwaje wadau???????
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Huwa huyu jamaa Dr. Gharib ,long time analeta shida ktk siasa, najiuliza ina maana hajui tuna uranium angalau apumue na kuamua shauri serikali ktk hili? Angalau Tido alikuja fufua TBC(alitaka revolution) ingawa alikumbana Mapinduzi(Overthrowing , not revolution).

  Hii ndio bongo presidaa kamua komaa na uwaziri wa mambo ya nje kwani upo ktk damu, na waliozoea urahisi wanaendesha nchi. teh teh. Sijui m kuna mbunge wa ssm anaweza simama asiongee kitu kinacholipua serikali.Mtu akijinyea au kuumwa na nyuki ni vigumu kuwa na amani wengine kujichekea mambo yao tuu.
  Dogo atulie na ajenge hoja kwa umakini kwani kuna uwezekano akajikuta kujieleza kwake kunaiumbua serikali...Kuna siku Kapteni komba laiuliza swali kuhusu ziwa nyasa kuwa na uvuvi wa kisasa upande wa malawi zaidi ya upande wa wadanganyika...yeye alikuw akijiuliza au ni kwa vile .....malawi wana maji moja na sisi tuna maji mengi..? hah ah:smash:

  Kwa aiyeamini angalia wabunge wa ssm wanavyopata shinda kumbusha serikali yao kuhusu ahadi au kutoswa kwa majimbo yao...anajua mzee wa kuwapa unyago.Aka mtoto wa mkulima yupo ndani na haakuwafundisha hivyo.
   
 15. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  I did not like that question either..........as if wote mule ndani wamesomea political science kwa waliosoma tonation alieleweka soon baada ya kurudia swali
   
 16. N

  Ndusty JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
   
 17. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubunge siyo fani. Bunge ni la wananchi wote. Wenye bunge ni wananchi na hivyo mwananchi yeyote yule ana haki ya kugombea bila kujali fani yake.
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Na wasiosomea kitu chochote kama Lusinde, waulizwe swali gani?
   
 19. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,853
  Likes Received: 4,519
  Trophy Points: 280
  Tena nuclear physics; wachache sana Bongoland. Labda atatumia uzoefu wake katika kushauri the potential nuclear energy sector.
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mbona hamuoni swali la aibu la waziri wa utarii akiuliza kwa kuwa wakenya wanajenga uwanja wa ndege upande wa pili wa mlima kilimanjaro,tz ifanyeje ? nlitegemea yeye awe ametatua ilo,ila anakuja kumuuliza mgombea!na mawaziri kibao wameuliza utumbo...
   
Loading...