Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Apr 12, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wengi tumejitenga na ukweli unaouzi. Katika kuunda tume ya katiba JK Ameshindwa kuepuka shinikizo la Redio Imani na Gazeti la al-nuur.

  Ubaya tumefundishwa kuchukia DINI na si UDINI! MFANO chadema kinaitwa chama cha kikristu kwasababu tu uongozi wake wa juu unawakristo wengi.

  Lakini CUF kimejaa waislamu wengi toka miaka ya tisini lakini JK hakukiusisha na udini! Unajua ni kwanini ni mpinga dini na si udini!

  Tunataka kuaminishwa kuwa adui mkubwa wa mwislamu ni mkristo na adui mkubwa wa ukristo ni mwislamu. Tunasahau kuwa uislamu na ukristo asili yake ni moja Ibrahimu. Tunataka kuwasahau maadui tunaopambana nao ni walewale Ujinga, Umasiki, Maradhi na Rushwa.

  Ubaya tumeitupa ELIMU tukaaminishwa UJINGA tukashindwa kuutambua ukweli. Majizi yanachangia makanisa na misikiti kwenye arambee tunayaona kama marafiki.

  Mawazo ya Ar-nuur na Redio Imani ambayo ni msingi wa uteuzi wa tume;-
  Tume iundwe na nusu ya wajumbe kutoka bara na nusu kutoka zanzibar(bila kujari ukubwa na idadi ya watu kutoka pande hizo). Na hili tundulisu alilipinga vikali akaonekana Mjinga.

  Wajumbe kutoka zanzibar wawe waislamu wote sababu zanzibar ni nchi ya kiislamu na wajumbe kutoka bara wawe nusu wakristo nusu waislamu sababu ndio dini kuu kwa huku bara. Na kutowatambua kabisa wasio na dini.

  Kwa mchanganuo huo maslai ya waislamu yataingia kwenye katiba mpya. Kwani 75% ya wajumbe watakuwa waislamu na25% tu ndio wawe wakristo. Ila moja ya dai kuu la waislamu ni nafasi sawa za uongozi, mahakama ya kadhi na kupinga mfumo kristo. Hawana habari juu ya ufisadi mfumo mbovu wa elimu, huduma duni za afya, rushwa na mfumuko wa bei.

  Katika kuteua tume JK Kazingatia maoni ya media za kiislam. Je anaamini kama wao au ni kupunguza mashinikizo ya waislamu zidi yake.

  Ata katika uteuzi wa majaji, wakuu wa mikoa na wilaya, mawaziri JK ujitaidi kuzingatia hili. Hii ni hatari! Tuzingatie uwezo tu.

  Sioni tatizo atakama jk angeteua waislamu wote ila tu wawe na uwezo.
  PILLI NATOARAI WATUMBE WA TUME WAANGALIE MASLAI YA TAIFA NA SIO DINI ZAO KWAN UMA HAUTAWEZA KUKAA KIMYA
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  eti great tinker , mahakama ya kadhi ( sijui ni kazi ) ndo ipo around the corner kama walivyo ahidiwa kipindi cha kampeni 2010 ???

  au ni choko choko tu ????

  my take :tupeane muda , mambo hayawezi kwenda mrama kwani Siku hizi PRESSURE GROUPS zinanguvu ya kufanya adjustment yoyote kkatika serikali na kamati zake kwa manuu fa walio wengi
   
 3. M

  Mwanamutapa JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 499
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mtei kasema kweli inakuwaje wakristo wakipigia kelele jambo la kutokuwa na usawa katika uwakili wa dini inaonekana ni udini na waislamu wakipiga kelele inaonekana ni haki? mfano Sumaye alipounda bodi ya parole wakrsto walikuwa wengi na waislamu walipiga kelele jambo lililofanya ikavunjwa hiyo bodi na kuundwa upya kwanini hapa kwenye katiba ionekane ni udini wakati ni haki?

  Haiwezekeni Zanzibar wawe wote ni waislamu wakati kuna makanisa Kikwete kashindwa kuteua wakristo walioko Zanzibar? mbona Jaji Agustine Ramadhani au Issack Sepetu ni wakristo ambao asili yao ni Zanzibar wanopinga hoja wanataka kusema wakristo Zanzibar ni wawili tu Jaji Ramadhani na Sepetu? kama ni hivyo hayo makanisa yaliyoko Zanzibar wanaosali ni waislamu? kama sio waisilamu wanaosali sasa inakuwaje wakose hata wajumbe watatu wakristo toka Zanzibar?

  Haya ndio mambo yaliyopo kwenye kamati kuu ya CCM pia ambayo ina wajumbe 32 kati ya hao wakristo ni 9 tu na 21 wote ni waislamu sababu ya 'Zanzibar equation" ndio maana napenda muungano uvunjike na ninamlaumu Nyerere kwa huu Muungano ingawa mimi ni mshabiki wake mkubwa maana muungano unawapa waislamu mamlaka makubwa wakati wao sio wengi kama wakristo Zanzibar isingekuwepo tungekuwa sawa kwa sawa angalia mfano wa Rais na Makamu wa Rais wao waislamu wanaweza kutoa Rais na makamu wote waislamu lakini wakristo hawawezi kufanya hivyo maana wakifanya hivyo tu tayari hoja ya udini inakuja
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yale yale kuumizana tu vichwa kwa bara tupo nusu nusu iweje tuwe wa 4 tu.Basi kila pande itengeneze tume yake bara na zanzibar.Bara nusu waislamu nusu wakristo.Halafu zichanganywe pamoja tuone kama waislamu hawatazidi mijitu mingine sijui inafikiri kwa makalio gadem it
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 6. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Rais wa jamuhuri ya muungano, makamu wake, jaji mkuu, waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, mambo ya nje, fedha na wizara zote nyeti, wakurugenzi wa idara nyeti serikalini, ushahidi upo; nenda smz yote, wote ni waislam. Mbona wakristu hawalalamiki? Mbona JK unataka kutuletea balaa? Kumbuka wakristu kukaa kimya si ujinga kwani kimya kingi kina mshindo.
   
 7. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nyerere aliweka hata kugawa pato la taifa tuwape 4% ,huwezi linganisha watu zaid ya 40 mil na watu mil 1.5 au mbili.INGEKUWA NI JK ANGEWAPA 50% HUYU JAMAA HUYU HAJUI KUANGALIA KABISA,GEOGRAPHIA NA POPULATION NI KITU MUHIMU SANA
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Soon watanzania tunaingia ktk vita vya kidini kwa sababu ya JK.
   
 9. satelite

  satelite JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kwani waziri wa mambo ya nchi za nje ni muislam
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Hii tume ni ya kipuuzi. Nadhani JK alishauliwa na Bassaleh kuteua wajumbe wa hii tume.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Si huyu Membe anayepigia chapuo upuuzi wa mahakama ya kadhia na ule ushetani wa OIC?
   
 12. satelite

  satelite JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  nimekusoma.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Rais ni Muislam, Makamu ni Muislam, Rais wa Zanzibar ni Muislam, Waziri wa fedha ni Muislam, Waziri wa Elimu Muislam, Waziri wa Afya Muisla,Waziri wa Ulinzi ni Muislam, Waziri wa Mambo ya ndani ni Muislam. Wizara nyeti zimewekwa waislam.Judge Mkuu Muislam, Judge Kiongozi Muislam, IGP Muislam. Wakristo hawalii lii udini. Leo Kikwete katumia upole na ukimya wa wakristo kuwadharau. Kajaza waislam kwenye tume ya katiba ili kuileta katiba ya Jamhuri ya waislam Tanzania.
   
 14. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ahsante kwa kuliona hili na kuamua kulisemea.
  Angalia hata teuzi za JK za wakuu wa mikoa, wilaya na idara na mashirika ya umaa, aslimia 90 ya wateule ni waislam. Mikoa nyeti mingi wakuu wake ni walewale ukiwemo mkoa wenye makazi yake pale magogoni. Mbona wakristu hawalalamiki adharani? Hekima ni muhimu. Wakristu wamejifunza hekima na kuvumilia ila sio wajinga. Wanaju walifanyalo.
   
 15. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,110
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Yale yale ya Malecela na Mwinyi. Membe anataka huruma(kula) za waislam 2015
   
 16. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanzo wa dini siyo Abraham ni Mungu, je alianzisha dini zaidi ya moja? Hapana, Yeye alipanda mbegu bora baadae adui ( shetani) akapanda magugu ili adhoofishe na kuaribu mbegu bora
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama wakristu wangekuwa wengi nadhani pia kelele zingekuwa nyingi zaidi
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mtei ameongea cha maana nashangaa zitto alioni hili,JK tunaomba uvunje hilo baraza uunde upya kulingana na ratio halisi.
   
 19. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,584
  Likes Received: 6,750
  Trophy Points: 280
  Naona wanazi wa chadema wanajaribu kumpaka "lipstick nguruwe", hata awe na midomo myekundu namna gani kama "miss world" atabaki kuwa nguruwe- kauli ya mtei ni kauli "divisive", "discriminatory", "hate inspiring", "islamophobic". Kiufupi ni kwamba kwa mtu mwenye status yake katika jamii hapaswi kutoa kauli kama hiyo hasa ukizingatia katika historia yake ya utumishi wa umma hakuna rekodi yoyote ile aliyowahi kushutumu bosi wake nyerere kuchagua wakiristo wengi kwenye serikali kuliko waislamu, au hata yeye katika chama chake kuwa na uwakilishi wowote unaobalance kidini, sana sana chama chake kina stracture ambayo wakiristo ni wengi sana kuliko waislamu.
   
 20. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wakristu ni wengi mno ila si wapayukaji. Wamefundishwa hekima, busara na kuvumiliana. Siri ya yote ni elimu. Wakati waislamu walilia kubebwa na serikali,, wakristu wanajenga mashule na kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya uhakika ya kuweza kupata ajira na kupata mwanga mkubwa wa kuishi na wenzako kwa kuwavumilia.
   
Loading...