W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, Apr 15, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule ubunge wa afrika mashariki

  " Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

  - Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

  - kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

  William."
   
 2. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

  - Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa unfair!


  William @Dodoma City!
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Vipi Lowasa? Ni Fisadi au si Fisadi?
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  gamba ni gamba tu! Hana jipya huyo!
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  sasa mbona kama hamueleweki W.J anashuktumiwa nini juu ya mahanga?na kwanini ninyi wana jimbo msiwe watu wa kutumia hekima ya kumuelewa mwenzako kwanza?kabla ya kumrushia vijembe? naasema tusubiri hukumu kwanza na nafikir hkumu ya kwelli iko kwa wananchi wake wanajua japo watashindwa kuprove kama walimwibia kura au la.
   
 6. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Proven guilty eeh! Ingekuwa busara ukakaa kimya tuu, na hao wanaopiga kelele waache wapige, you were not here eeh! people know what tranpired! Waliona na kushuhudia kwa macho mabo mengi tuu na mengine mengi hata hujayaona baado!
   
 7. n

  n.ngereja Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoto wa malecela naye ni malecela, MTOTO WA GAMBA NAYE NI GAMBA.
  WEWE PIA NI GAMBA full stop
   
 8. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Harafu huyo Step mother wako kakusimulia ya kiwira? Kwa kweli alijishushia hadhi, watu wengi nikiwemo mimi nilikuwa namuona ni mmoja kati ya nuru na tunu kwa taifa letu hili, lakini kwa mambo aliyoyafanya huko nimeisha mdharau saana, hata sitaweza kumsikiliza tena akiongea, ahta akiwa anatoa povu mdomoni kwa hoja zake, hebu lets talk the talk and walk the walk!
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  La Makongoro kuleta maendeleo huko Segera na Kinyerezi ni kweli. Amejitahidi kijenga barabara hata hiyo ya Majumbasita kwenda Segerea na kuunganisha tabata ni ya lami. Kwa sasa Kinyerezi kuna barabara nzuri sana za morrum na makalavati mengi yamejengwa. Hayo yote yamefanyika chini ya Mahanga. Pamoja na hayo, kesi inaonekana kumkalia vibaya.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Kelele zake na wapiganaji wengine zimesababisha Kiwira kurudishwa kwa taifa, kama una tatizo naye for that so be it!

  William @Dodoma City!
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Really?

  Willie! @Dodoma City!
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Fungulia thread yake, hii hahihusiki kabisaaa!

  William @Dodoma City!
   
 13. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona watu wankushauri ukagombee ubunge Mtera? Nafikiri wa -Europe na USA hawamchagui mtu asiye mkaazi kuwa mwakilishi wao!!
   
 14. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

  William @Dodoma City!
   
 15. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nope, udiwani kiwira, sio kiwira coal mine!
   
 16. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hata mambo ya huku segerea huyajuiii! Mpendazoe ni mkazi wa Tabata chang'ombe, hivi ni wapi huko, i ean ni jimbo gani?
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Unaona ndio maana humu JF huwa hatuelewani, yaani hujui kwamba jamaa ana kibanda cha magiirini pale Segerea kwa ajili tu ya kugombea ubunge baada ya kukimbizwa huko kwao!


  William.
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Nimelipenda sana jibu hili la hekima na busara,sikuelewa kwanini hoja kuhusu Mahanga ipelekee kushambuliwa wewe na familia yako. Lakini tukubali tu kuwa kufikiri ni zao la taaluma na hivyo tupo watanzania wengi tunakosa taaluma hii.
   
 19. J

  Jadi JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Gamba jipya, we huwezi kuelewa adha tunayoipata waTZ wa hali ya kawaida,nyie watoto wa wakubwa mnaishi pepo ndogo nchini na nje ya nchi kwa kutumia rasirimali zetu,mnatuumiza sana basi tu hatuna cha kufanya,tunatamani ingetokea one day pawe Misri tuchukue mlichotuibia kama watoto wa Mubarak ndo nafsi zetu zitatulia,hapa unajibu hoja tofauti kabisa,tuhuma zake aliiba kura,tuambie kama hakuiba,kwani mahakama ni Mungu??mahakama za CCM,kwenye kura ni sawa tu na tume ya uchaguzi ya CCM iliyompa ushindi yeye Mahanga
   
 20. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mmmmh! kazi kwelikweli, bahati mbaya alikuwa jirani yangu pale! Lakini kama ni kajibanda sina neno tena mkuu, ila wengine kabanda ndio nyumba zetu!
   
Loading...