Nina mashaka na upeo wa viongozi wa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mashaka na upeo wa viongozi wa CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Apr 17, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kila jambo kwa siku hizi wakiamua at the end CDM wanaemerge winners, hivi wana jf mmeishawahi kujifikilia ni kwa nini? Na Je hawajifunzi kuwa wakati huu haki ndio hutawala udhalimu?

  Cases, kama ubunge EA walitaka kupindisha sheria, Katiba mpya walitaka kupindisha hoja na kuipotosha kabisa, sehemu mbalimbali ubunge mwaka 2010 nadhani mnajua mabo jinsi yalivyo kuwa, hivi ni kwamba jamaa walizoea kucheat ( Udhalimu) hivyo inakuwa ngumu kwao kuadapt? Naona kila kitu wakianzsha wanaishia kubaya tu na wanakuwa na nia mbaya yaani kupindisha sheria! mbona hawajifunzi au ndio shetani anawaita motoni?

  Nawasilisha
   
Loading...