Serikali haiamini uchawi,je viongozi wake wanaamini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali haiamini uchawi,je viongozi wake wanaamini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paradisian, Apr 17, 2012.

 1. Paradisian

  Paradisian JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 60
  Hii mwaionaje wakuu sababu kuna kesi nying zinatokea huku kwetu ktk kijiji cha ntuchi mkoan Rukwa watu wamekuwa wakishikana uchawi na kuchukua hatua stahiki lakini serikal inaingilia kati na kudai kuwa hakuna uchawi,je tutafika ikiwa serikali ndo sisi wananchi?
   
Loading...