Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na...
Wanamaker JF Leo diwani huyo ameukana udiwani alioupata mwaka 2010 Lu iris chama cha mali dusk na kuhamia CHADEMA......
====
Diwani wa Kata ya Sombetini Mh. Alphonce Mawazo amejiengua kutoka CCM...
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends...
Katika Michango ya wabunge wengi bila kujali itikadi zao wanapendekeza wabunge waache kulalamika baadala yake watumie kanuni za bunge za kuiwajibisha serikali wakiongea katika wakati tofauti...
Source;NEC Web
1. 1.In discharging its functions in accordance with the provisions of the Constitution, the National Electoral Commission shall not be obliged to comply with...
Wakuu, ninashangaa na inanitsha kuona siku muhmu kama ya leo viti vya wabunge viko waz. Je ni maswala muhmu ya nch yamewatoa? Ama mambo bnafs? Je ni sahh wao kutokuwepo?
Ilikuwa februari 27.2005 alikuwa CCM MKOA WA PWANI.
Rais wa jamhuri wa Muunagano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete Kabla hajajiingiya katika mpambano wa nafasi ya URAIS mwaka 2005 alitoa...
SMZ kubadili kanuni za usafiri majini
Tuesday, 17 April 2012 21:45
Aidan Mhando
WAZIRI wa Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamard Masoud Hamard...
Ikiwa Wazanzibar tutapata kuvuta Punzi kidogo Basi huendaBaada ya miaka miwili mbele Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar (Smz)yenye mfumo wa Serekali yaumoja wa Kitaifa (Suk)ikapiga hatuwa kubwa za...
Wanajamvi hebu leo hapa tuwape sifa stahiki makatibu wakuu wa vyama vya siasa hapa tz.Tuwape sifa kwa kujenga ama kubomoa vyama vyao. ushauri unaruhusiwa
Jamani mbunge sugu anapendwa sana mbeya na mimi pia nampenda sana ingawa si mkazi wa jimbo hilo ila kuna wasiwasi kwenye mchakato wa 2015 watu wachache wakashindwa kumpa kura yeye na wakampa mtu...
Nakumbuka mwaka 2005 watu walijua wamepata mkombozi wao ambaye ni J.Kikwete Edward Lowassa!Kutokana na historia ya Lowassa wakajua basi mambo yamepata mwenyewe na wakadriki hata kupanga safu ya...
Ndiyo wakuu ! Katika kukamilisha usemi usemao kila jiwe litafunuliwa ,upepo wa M4C leo utavuma katika mkoa mpya wa geita ikiwa ni mwendelezo wa ziara na uamsho kanda ya ziwa. Zaidi ntawajuza kila...
Misenyi ni moja ya wilaya ndani ya mkoa wa Kagera, ila cha kusikitika kata zote ziko chini ya magamba (CCM) hii inauma sana, lakini tunahitaji uhamasishaji mkubwa hasa kutoka kwa viongozi CDM...
Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA. Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Aibu kwa taifa zima!
Maneno yake hayo on twitter
Slaa amgomea JK
Amtaka aache Watanzania waunde Katiba yao
na Mwandishi wetu, Shinyanga
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameeleza...
Matokeo ya bunge la EALA
1. Kundi la Wanawake
No.
Jinannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
Chama
Kura
1
Nd. Angela Charles Kizigha
CCM
166
2
Nd. Fancy Haji Nkuhi
CCM
57
3
Dkt...
Kama kweli wabunge wagombea EALA walitembeza hongo na wakapata wateja (wabunge wapokeaji), na wabunge waliona badala ya kuita PCCB chombo walichokiunda kwa sheria yao waje ku-intervene... wanaenda...