Dr Slaa kuunguruma leo Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa kuunguruma leo Geita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Apr 18, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu ! Katika kukamilisha usemi usemao kila jiwe litafunuliwa ,upepo wa M4C leo utavuma katika mkoa mpya wa geita ikiwa ni mwendelezo wa ziara na uamsho kanda ya ziwa. Zaidi ntawajuza kila hatua kwa yale yatakayo kuwa yanajiri. MUNGU BARIKI M4C, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baba jipange na picha kabisa, kuturushia humu jamvin!
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ile zana kwamba ni vyama vya msimu imefeil baba riz aje na kauli mbiu nyingine
   
 4. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  moja ya rules humu jamvini.ni kuwa mkweli.umesema utatujuza,wengine tupo mbali na harakati hizo.ila naujua utumwa wa geita.wanamuhitaji musa.wa kuwatoa utumwani.nawewe usiwe kama ndg.yetu humu kasema juzi.EL.kutoa maamuzi magumu.kasema atatujuza hyo jana tukasubir wapi hakuna lolote.kwa hyo na wewe ufanye kweli.uweke na picha.zote.utakazokuwa umepiga.
   
 5. M

  MALAGASHIMBA Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mwambien atembelee Mgusu,Nyarugusu,Katolo,Kasamwa,Nzera,Nkome na Msalala aone wananchi walivoichoka ccm na wanavyohitaji mabadiliko.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kasamwa CCM ilishazikwa kitambo...Natunaye diwani wetu pale kamanda MAHENGE wa CDM.
   
 7. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kanda yote ya Ziwa ikiangukia CDM, CCM imekwenda harijojo.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kanda ya ziwa inatakiwa kuwa "turning point" ya ukombozi nchini.
   
 9. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Ahadi ni deni,hakikisha kadiri ya ulivyoahidi kutupatia picha humu jamvini tuone na huko Geita Kama wamelala au wameamka.
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baadae usisahau kuweka picha
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Tunakusikilizia Mkuu!
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima kwenu.

  Kwa sasa M4C iko imeingia rasmi ndani ya mkoa mpya wa GEITA ambapo Dr Slaa kishawasili na anaendesha vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.

  Leo atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara pale Katoro katika jimbo la Busanda.Kesho atahutubia mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya magereza.Mpaka sasa tuko kwenye maandalizi na tunafanya kila jitihada kuhakikisha Dr.Slaa anapata wasaa wa kuwatembelea wafungwa walio katika gereza la Geita miongoni mwao wakiwa ni wafuasi,wapenzi,wanachama na viongozi wa CDM.

  Diwani wa kata ya Kasamwa kupitia CHADEMA bwana MAHENGE yuko mahabusu gerezani hapo tangu tarehe 28 Mwezi uliopita baada ya kushindwa kwa njama za CCM kumhusisha diwani huyo na sakata la uchomaji wa nyumba za mganga wa kienyeji lililofanywa na wananchi wenye hasira kali kule Kasamwa miezi kadhaa iliyopita wakimtuhumu(mganga)kupora mashamba yao(wananchi) na Serikali kutomchukulia hatua mganga huyo ambaye ni kada wa CCM.

  Tukio hilo lilifanywa kuwa la kisiasa na kupelekea diwani huyo kukamatwa na baadaye kuachiwa.Lakini katika mazingira ya utata mganga huyo alifungua kesi ya armed robbery dhidi ya diwani Mahenge ambyo ilipelekea kukamatwa tena na yuko mahabusu mpaka sasa.

  Wakuu mtaendelea kupata updates toka kwa makamanda wengine juu ya ujio wa DR SLAA hapa Geita kwani nimepokea simu muda mfupi kuwa babu yangu kizaa Mama kafariki Dunia asubuhi hii...Hivyo naelekea kijijini kuhudhuria mazishi ila tuko pamoja.

  Hakuna kulala mpaka kieleweke.

  Nawasilisha.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa kuondokewa na babu. Tunaamini utatupatia full updates na picha za huo mkutano." Saa ya ukombozi ni sasa".
   
 14. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu ! Ratiba ya leo ni kuwa atakuwa katoro-jimbo la busanda, kesho atakuwa geita mjini, ijumaa atakuwa sengerema ,jumamosi atakuwa Magu. Kama kuna mabadiliko tutajulishana. M4C FOR EVER.
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Yani usikonde mkuu, Musoma rural tushaanza kumshughulikia Mkono baada ya kujitanganza kuwa mbunge wa kudumu kama Mugabe!! Nimepita kwa Chief Japhet Wanzagi naona kabandika picha ukutani ila hata vigogo wa Mwitongo hawamkubali sasa ni kujipanga.

  Upande wa kulia wa barabara ya Musoma- Mwanza haina shida sana huko watu ni wana mabadiliko sana kuna hadi madiwani wa Chausta na vyama vingine.

  Tunajipanga kusambaza Elimu ya uraia kama hewa ya oksijeni. Kanda ya ziwa ndio hupeleka hao vilaza magogoni. This time around big NO!!
   
 16. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Tunategemea mabadiliko ya kweli huko geita, na tunawatakia kila la kheri ktk M4C ndani ya kanda ya ziwa.
   
 17. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  pole kwa msiba wa bibi.
   
 18. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Dr Slaa pita sengerema ung'oe shina maana mti ulishakauka; please and please
   
 19. D

  Darick JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani mliopo karibu na maeneo anakofanyia ziara Kamanda Slaa mtujuze nini kinaendelea
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa..
   
Loading...