Now I know: Corruption is here to stay no matter what? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Now I know: Corruption is here to stay no matter what?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Apr 18, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama kweli wabunge wagombea EALA walitembeza hongo na wakapata wateja (wabunge wapokeaji), na wabunge waliona badala ya kuita PCCB chombo walichokiunda kwa sheria yao waje ku-intervene... wanaenda kulalamika kwenye ma-blog na vyombo vya habari... now I know this is generation of coruption.

  Nimewachukia wawakalishi wetu, in fact kwa kuwa wananiwakilisha nimejichukia na mimi....
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  chama tawala kimekumbatia rushwa unategemea nini?minjingu pameibiwa mbolea ya ruzuku,pinda anasema tafuteni export
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Sitakikusikia mbunge au kiongozi yeyote wa kitaifa akituambia ati kulikuwa na rushwa kwenye kampeni ya EALA. a. Kama waliona kuna rushwa nani aliita PCCB? b. Kama rushwa ilikuwepo walifanya jitihada gani kuwakamata kwa nguvu ya raia (citizen's arrest) watoa rushwa hao? c. kama watu wanawajua watoa rushwa na wapokeaji rushwa walifanya nini kuwazuia? Haitusaidi sisi kama taifa kutuambia "kulikuwa na rushwa". Sote - i hope sote - tunajua rushwa ni dhambi na aibu ya taifa na uchaguzi wa EALA siyo wa kwanza kwa viongozi kutaka kutumia rushwa!! Lakini hadi leo hii hakuna kiongozi yeyote wa maana aliyetegwa akakamatwa akitoa au kupokea rushwa!!! KIMSINGI HAKUKUWA NA RUSHWA KAMA ILIKUWEPO WATU WANGEKAMATWA AU KUJULIKANA!! Next time, msisubiri hadi uchaguzi uishe ndio mtuambie kuna rushwa! Habari za watu kutoa rushwa zilikuwa zinajulikana kwa wiki kadhaa na najina yanajulikana lakini hakuna aliyethubutu kuwatega au kuwaumbua wahalifu hawa!! Watajeni kama mnawajua ili taifa lijue nani katoa na nani kapokea!!! rushwa ni rushwa kwa sababu inawapokeaji - quote me!
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  NIKO NAWEWE SANA MZEE MWANAKIJIJIl; NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI ZA VIONGOZI WETU NA IMENIUMA SANA, THAT'S NASEMA RUSHWA ITAENDELEA KUWEPO DAIMA KWA KIZAZI HIKI!!!

  Nina msiba mkubwa sana kuanzia jana...
   
Loading...