CONSTITUTIONAL PRIVILEGES OF THE NEC; BILA AIBU WANAPENDA WASOMEKE HIVI; Legal Powers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CONSTITUTIONAL PRIVILEGES OF THE NEC; BILA AIBU WANAPENDA WASOMEKE HIVI; Legal Powers

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mp Kalix2, Apr 18, 2012.

 1. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
  [TR]
  [TD] [FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot][/FONT]Source;NEC Web

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]1.In discharging its functions in accordance with the provisions of the Constitution, the National Electoral Commission shall not be obliged to comply with orders or directions of any person or any Government department or the views of any political party.[/FONT]


  [FONT=&quot]Bila aibu wameweka na huu mzaha.Katika nchi inayoimba kuongozwa kwa sheria, Mahakama ni mahala pamwisho kabisa kwa binadamu kudai haki na usawa na nje ya hapo labda uombe /na umwachie Mwenyezi Mungu.

  [/FONT]


  [FONT=&quot]2. 2. [/FONT]

  [FONT=&quot]Nadhani kwa vile tuko kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya; basi Bunge letu laweza kutuondolea huu u -mungu mtu ndani ya Tume ya Uchaguzi mapema zaidi ilituweze kuanza kuwaamini kuwa wataweza kupigania na kusimamia maoni yetu huko mbele ya safari.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]3. For the better carrying out of its functions, the Electoral Commission is an autonomous department. [/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...