Bunge litoe azimio kuiwajibisha serikali-wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge litoe azimio kuiwajibisha serikali-wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Apr 18, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika Michango ya wabunge wengi bila kujali itikadi zao wanapendekeza wabunge waache kulalamika baadala yake watumie kanuni za bunge za kuiwajibisha serikali wakiongea katika wakati tofauti wakati wakuchangia hoja ukianzia kwa Halima Mdee,Zambi na Serukamba.Wanapendekeza kufanya kazi za kibunge.

  Mytake: Je rungu liliowaondolea uwaziri Mbilinyi,Simba, Ngasongwa,,,,,,kwani wakina mkulo nao wasichezee kichapo!
   
Loading...