Diwani wa Kata ya Sombetini (CCM, Arusha) ahamia CHADEMA

wananchi wanahitaji mabadiliko,kama hawatayapata ndani ya ccm watayapata nje ya ccm by nyerere,1995 dodoma
 
nashindwa kuamini upepo M4c unavyoanza kusika kasi. Millya atakuja na wengi ngoja tusubili.
 
Wanamaker JF Leo diwani huyo ameukana udiwani alioupata mwaka 2010 Lu iris chama cha mali dusk na kuhamia CHADEMA......

Mkuu Kilewo hebu funguka.Mbona imeshawahi kuvumishwa mara kadhaa huyu diwani ameikana ccm lakini baadaye inakanushwa? Funguka mkuu tuanze shangwe.
 
Kama cjakupata iv, yan umenichanganya kata ya sombetin mara tena luris, iwekee nyama basi breakn newz yako, ila M4C hatari.........
 
Wanamaker JF Leo diwani huyo ameukana udiwani alioupata mwaka 2010 Lu iris chama cha mali dusk na kuhamia CHADEMA......


Arusha tunawapongeza sana viongozi ambao kwa dhati wameamua kuwa katika historia ya ukombozi wa nchi, CCM iwe na dhambi au la, lazima ife kwani ni kama mzee wa miaka 100 na zaidi hahitaji kuugua ndo afe, si siku nyingi tutamka asubuhi tutatafuta CCM tusiipate, tayari itakuwa imekufa.
 
Hizi ndizo dalili za gamba kumalizika, na mwendo wa makada wa CCM kuhamia CDM si kwa Arusha pekee bali muda si mrefu toka sasa kuna kada almaarufu wa CCM Iringa naye atabwaga manyanga na kujiunga Chadema, kwa wakati huu anajipanga huku cdm mkoa wa Iringa ikiandaa protocol pamoja na siku maalumu ya kumpokea, Magamba chaliii.
 
Once again care should be taken, iweni makini isije ikaja kuwa ni mwanzo wa vurugu na matata kwa chama kinachohitaji kujijenga na kupata wanachama na viongozi makini. vinginevyo ikiwa ni kwa jema basi ni wakati wa mavuno, maana mazao tayari.
 
Waache wenye maono watende yale yawapasayo kuyatenda. M4C, Mungu ibariki Tz, hii nuru waangazie wote, hao ambao wameleweshwa na fedha za ufisadi.
 
Kilewo tuongezee nyama kwenye hii newz amejiunga lini wapi na ni kiongozi gani kampokea kwani taarifa zake zimeripotiwa mara nyingi humu bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom