Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William @Dodoma City!
 
William,
Daima mwanzo huwa mgumu. Lakini usikate tamaa. Katika miaka ya hamsini Toyota walileta magari yao hapa Marekani wakitafuta soko. Wakachekwa na magari yao hayakununuliwa. Wakarudi kwao wakajipanga upya. Wakarudi kwenye soko la Marekani in the 60's kwa nguvu mpya na teknolojia. The rest, as they say, is history. Never give up!
 
Ahsante kaka william kwa kuwa mzalendo wa kweli, naamin kwa uadilifu wako ipo siku Mungu atakuinua juu sana kuliko hata hapo ulipokosa saa. Thanks u
 
Hongera sana Mkuu!

Umejitahidi sana. Ni hatua kubwa. Usife moyo kajipange upya!

All the best na karibu tuendelee kulitumikia Taifa letu Mkuu!
 
Ungwana ni vitendo. Kama unampango wa kugombea tena, kweli kaa chini uangalie wapi ulipojikwaa, kisha uchaguzi ujao uiingie tena ulingoni. Kila la kheri katika siasa kwa utumishi wa watu.
 
Pole sana Mkuu! Ungwana ni kukubali matoke na kuto kwenda mahakamani kupinga matokeo! Vipi unarudi lini USA?

Chezea Bongo politics wewe!
 
Sawa blaza!... usimlaumu mpiga picha.
Ndivyo ulivyo hivyo.

Kobello sijakupata ndivyo alivyo nini?

Malecela hongera kwa kuthubutu lakini nakushauei mkuu ujipange ili uchukue jimbo lolote hapa TZ kuliko uchaguzi mdogo uliojaa fitna kama huo ulioshindwa.
 
Poa mkuu siku nyingine jaza mambo ya Bongo ktk maelezo. I loved your speech ila wapiga kura wako waliona kama unajivuna maybe!
 
Pole na Hongera . Ni Heri ww imejaribu weng wetu hapa ni maneno matupu. Kazi buti bado una nafasi nzuri ya Ubunge anza mikakati Sasa. Nimependezwa na KUTHUBUTU Kwako
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William @Dodoma City!

A true democrat! usiinamishe kichwa chako mbele ya mtu yeyote wala kumpigia mwanadamu magoti. You took a punch, you hit the ropes, get up fight again!! Keep up the fight! Wanasema "you live to fight another day"
 
Hongera sana William,jipange tena.PENYE NIA PANA NJIA.Jacque Chirac alishindwa mara kibao ila hakukata tamaa hadi 1995 alipogombea na hatimae kuwa Rais wa Ufaransa
 
All the best Mkuu, there is always next time...

suntzu5_1024.jpg
 
Salute!!! tinahitaji wajasili kama wewe...wanaoshindwa wakakubali matokeo....sio wanaolazimisha matokeo ya ushindi huku wakijua wameshindwa...Karibu!!
 
Rudi jukwaani usiwe mwanasiasa wa mitandaoni tu. Hamia kabisa bongo, piga siasa, ukomae. Wengi walioshinda ni wazoefu nawaligombea majimboni 2010. So usife moyo huu ndo mwanzo. Nimewapenda wabunge siku hizi hawangalii majina, lol, experience.
 
Back
Top Bottom