Wazanzibar wana haki ya kuisifu Serekali ya Umoja wa Kitaifa Suk kwa hatua zake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar wana haki ya kuisifu Serekali ya Umoja wa Kitaifa Suk kwa hatua zake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Apr 18, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ikiwa Wazanzibar tutapata kuvuta Punzi kidogo Basi huendaBaada ya miaka miwili mbele Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar (Smz)yenye mfumo wa Serekali yaumoja wa Kitaifa (Suk)ikapiga hatuwa kubwa za kimaendeleo na kiuchumi .

  Hivi sasa hakuna shakaa kuwa kipindi kifupi tu cha Mwakatokea Wazanzibar waichaguwe Serekali yao ya Umoja wa kitaifa imefanyaMambo mengi makubwa tena ya kutia matumaini mbeleni ambayo kwa kipindi chote cha miaka 47 ya utawala wa ccm umeshindwakupiga hatua kubwa hio.

  Serekali ya Umoja wa Kitaifa imeweza kujenga kiwanja kikubwacha kileo ambacho bado hakija maliza kinacho jengwa na kampuni ya kichina, nachengine kitakacho anza kujengwa wakati wowote Kisiwani Pemba na kampuni ya south Africa.

  Suk imeweza kujenja barabara takribani nyingi Unguja na Pemba mijini na vijijini , imeweza kujenja vituo vya afyamijini na vijijini na imeweza kutengeneza miundo mbinu mingi .

  Tukiangalia hatuwa ya Serekali ya umoja wa kitaifa chini yamfumo wa ccm/cuf imeweza kupiga hatua kubwa kwa wananchi wa Zanzibar, hata kuwamaisha yamepanda kutokana na mfumuko wa bei lakini Wananchi wa Zanzibar mijinina vijijini wote wana matumaini makubwa sana usoni na Serekali yetu.

  Hii yote nikuonesha mfano wa wazi kuwa ccm kwa kipindi chotecha miaka 47 imeshindwa kusimamia mahitaji ya wanyonge (wananchi) lakini hivisasa kwa upande wa Zanzibar viongozi wa kisiasawamefanikiwa kufanya kazi pamoja na kuweka maslahi ya Zanzibar na Wazanzibar kwanza halafu siasabadae.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hongera CUF kwa kuwafundisha CCM uongozi wa kuwatumikia wananchi wa zanzibar
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tropical,
  Tupe hongera wazanzibar wote wengine hatuna vyama.
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sijui mnaishi dunia ipi. ila wazanzibari wa pande zote mbili wanajua jinsi serikali hii, ilivyoshindwa kufanya yaliotarajiwa ukiacha kupungua kwa chuki za kisiasa
   
 5. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mbona umeme mgao hauishi?vituo vya afya ni vya binafsi au serikali?mbona shule za sekondari hazijengwi?ni barabara gani zimejengwa tangu 2011 mlipoingia madarakani?
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahhahahahha MAGAMBA NA MKEWE MNAPIGANA WENYEWE HEHEEEE!
   
Loading...