Makatibu wakuu wa vyama vya siasa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makatibu wakuu wa vyama vya siasa Tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Apr 18, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi hebu leo hapa tuwape sifa stahiki makatibu wakuu wa vyama vya siasa hapa tz.Tuwape sifa kwa kujenga ama kubomoa vyama vyao. ushauri unaruhusiwa
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Rire rikatibu rinaroshabikia mitusi ya lusinde silipendi na ule mustachi wake kama wa karl peters!
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Katibu wa ccm[ana Act tu,hajui propaganda],katibu wa cuf[mroho na anapenda utukufu],nccr[makini asilimia 45],tadea[wasanii],tpp[majungu],tlp[vikaragosi],udp[mapesa],CHADEMA[WAKAWAKA 85].
   
Loading...