January Makamba: Rushwa imetembea uchaguzi wa EALA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba: Rushwa imetembea uchaguzi wa EALA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saas, Apr 18, 2012.

 1. S

  Saas JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA. Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Aibu kwa taifa zima!

  Maneno yake hayo on twitter
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hongera kwa kukiri,
  mbunge UNAH0NGWA?TENA NA WATU WASIO NA VYEO?
  Inalillah wainaillah rajiuun!
   
 3. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa maneno hayo TAKUKURU ifutwe bajeti wanayopewa itumike kusafisha miji yetu.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mambo gani ya kutuletea J. Makamba on twitter..................................

  Kwanini asije hapa akaeleza what happen kuliku kwende kujificha huko twitter...tweet.....brah brah au wewe ndo makamba?
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sasa kama unawajua kwanini usiwataje ?

  Mpokea Rushwa, Mtoa Rushwa, na Mficha wala na wapokeaji Rushwa wote ni walewale
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Swali ninalojiuliza,,,,shyrose bhanji alihonga nini?
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mpuuzi tu huyu j makamba.....
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  huu ni upuuzi wake aje hapa aseme sio kumungunya maneno
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  nasubiri jibu teh teh teheeee...:)
  ahh na kingereza chake cha marekan TANDALE jana wakat anaomba kura dah...bdada anajua sana kuutumia UCHUMI WAKE wala haukaliiiii mwaya akhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ye anapaa tu kwa raha zake:car:
   
 10. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naomba msaada kwenu Wanasheria. Mimi najua upande wa Murder cases tu kwamba kuna Mtuhumiwa anayeitwa Accessory of Murder. Je Upande huu wa Uhaini kama ilivyoletwa na January, hakuna Mtu anayeweza kushitakiwa kama Accessory of Crimes? Kama ni hivyo basi, kwa kuwaficha Wahalifu angali akiwafahamu, January nae anapaswa kuunganishwa kwenye kesi ya Uhalifu
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Makamba siku hizi naye amekua kilza sana ashalewa sifa,"january alitumia cheo vibaya alipokua ikulu na sasa ni wakati ahojiwe na takukuru"(sugu)
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,824
  Trophy Points: 280
  hiyo inatupa pcha kwamba hatahuko kwenye kamati anapokea. basi aje hapa jamvini atueleze hayo
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Alihonga alichonacho!!!! alichopewa na mnyazi mungu
   
 14. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Aliyempa rushwa yeye (J. Makamba) hakupita nini??
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanini kwenye Twitter, na isiwe TBC 1, huyu jamaa na yeye anapenda umaarufu rejareja, akiandika kwenye twitter babu zangu wa kule Ikungulyambeshi wanaijua hiyo twitter??
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,391
  Trophy Points: 280
  siamini; rushwa katika siasa za Tanzania?
   
 17. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Tanzania eeeh.....nakupendaa eeehh!!
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mali zisizohamishka,ila SUGU atakua alimpa kura
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ukitaka kula lazima uliwe
   
 20. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kule kwenye twitter wanalambana miguu
   
Loading...