Viongozi wa CHADEMA Taifa njooni Missenyi

Mr.kibulala

Member
Nov 8, 2011
58
20
Misenyi ni moja ya wilaya ndani ya mkoa wa Kagera, ila cha kusikitika kata zote ziko chini ya magamba (CCM) hii inauma sana, lakini tunahitaji uhamasishaji mkubwa hasa kutoka kwa viongozi CDM taifa hata ngazi ya mkoa kufanya mikutano ya hadhara mara kwa kila miezi3, inatosha hili jimbo liko huru 2015 kwa mbunge wa sasa full kilaza.

Pili ndani ya CCM wilaya makundi yanaendelea kati ex-mp na wa sasa, then wananchi wanahtaji changes. J'pili tulichukua kitongji na J'pili hii tunachkua kijiji then by election ingawa walisimamisha baada ya kuona magamba wanapoteza.

HEY DKT SLAA TUNAKUHITAJI MISENYI HARAKA MZEE WANGU
 
nimeshaanza,ndio maana 2nauhakika na ushnd wa jpili hii wa mwenyeti wa kijiji,nimeanza kwa watu kijijini

Safi sana Mr. Kibulala. Nina imani mtafanikiwa. Nashauri wasiliana na viongozi wa CDM ngazi zote hata kwa email au barua pia, ingawa humu JF huwa wanapitia.
 
Well done! Wahaya na unshomile wao bado wanahangaika na magamba? usomi wao sijui unasaidia nini! au ndio wa kutuzalia majaji kama "Rwakibarila"? sababu najua wahaya wengi wamesomea sheria.
 
Well done! Wahaya na unshomile wao bado wanahangaika na magamba? usomi wao sijui unasaidia nini! au ndio wa kutuzalia majaji kama "Rwakibarila"? sababu najua wahaya wengi wamesomea sheria.

kwel mkubwa huku wahaya walilala ila wanaanza kuamka,ndio maana nimetoka kwe2 kuja kuwapa sumu za CDM,tutafika
 
Back
Top Bottom