Waziri mkuu afanye uwajibikaji akubali kujiuzulu kitendo cha kusubiri kura ni aibu na upeo mdogo wa kuwa mwanasiasa mwenye heshima,kunaviongozi walio kubari kujiuzuru bila wao kuhusika moja kwa...
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana...
Imebaki masaa Machache sana watanzania uhuru wetu na mali yetu tunayo dhulumiwa na wachache itaenda kurudi mikononi mwetu. Wao wana jeshi,silaha nzito na kila aina ya ulinzi ila sisi tunaye Mungu...
Baada ya miaka 7 ya kuwa madarakani kweli tumeshindwa kumfahamu kwamba JK ni mzee wa MIPASHO?. Jaribuni kukumbuka mifano michache: 1. sakata la mgomo watumishi wa serikali akawapasha kupitia wazee...
Nchi hii imejengwa katika misingi na sera za kijamaa -- sijui kama ilikuwa ni extreme form of it, lakini najua kitu kimoja. Siasa hizi zime-demonise dhana ya mtu binafsi (individual prosperity)...
Huyu jamaa hajasaini azimio la kuiwajibisha serikali, lakini angalia anavyopiga kilele kudanganya wapiga kura wake.
Alisema hoja ya kutokuwa na imani kwa Waziri Mkuu ilianzishwa na wabunge wa CCM...
Dawa ya mwizi mawe,zambi huzaa mauti,hawa mawaziri wamenogewa na magari ya serikali nafikiri dawa yao wapigwe mawe popote watapo onekana tanzania ,wakubari ni wezi waondoke hii ni busara ya mtu...
Wakati chadema wanajenga chama chao nape na mukama wamekalia vikao vya umbea na fitina na kuhesabu madiwani na wenyeviti wanahaoma.kwa uongozi wao ccm aifiki 2015.Kwa mimi mwana cdm nawaomba...
Magamba ni chama cha kushangaza kweli kweli! Wanashikamana juu, ambapo huko chini mashina yanapukutika kwa kasi ya ajabu, na hakuna hata mmoja anayeshtushwa na hilo!
Nawapa hongera CDM kwa kuanza...
Wakati chadema wanajenga chama chao nape na mukama wamekalia vikao vya umbea na fitina na kuhesabu madiwani na wenyeviti wanahaoma.kwa uongozi wao ccm aifiki 2015.Kwa mimi mwana cdm nawaomba...
Zitto aendelea kutafuta saini
Katika hatua nyingine,Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alisema hoja ya kumpigia Waziri Mkuu kura ya kutokuwa na imani ipo pale pale kama mawaziri wanaotajwa...
Dawa ya mwizi mawe,zambi huzaa mauti,hawa mawaziri wamenogewa na magari ya serikali nafikiri dawa yao wapigwe mawe popote watapo onekana tanzania ,wakubari ni wezi waondoke hii ni busara ya mtu...
Kwanza nitangulie kusema CHEDEMA tumekata rufaa lakini hatuachi taadhali ya kujipanga tukishindwa. Kama wadau tusaidieni akiomba ridhaa ya chama sisi wadau wa Chama hapa A town tumfikirie...
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm...
Tuna kama miezi miwili tu kabla ya kikao cha Bunge la bajeti kuanza; endapo hoja ya kutokuwa na imani itatolewa sasa na kama Spika atakubali kuitisha kikao maalum ndani ya siku 14 (kwani haiwezi...
Selikali itakabiliana na ofisi ya CAG kwa Vitisho kushinikizwa kuuficha ukweli kwenye ripoti zijazo.
Inasemekana mbinu zitakazotumika ni sawa zile zilizotumika kuinyima makali TBC...
Tanzania kwa sasa ina deni shs trilion 14 ambazo zote zitalipwa kwa kodi za Mtanzania akiwemo wewe na mimi.Bila shaKa deni hili litaongezeka zaidi kwani hali ya hazina sio nzuri....Kwa sasa fanya...
JK ametutukana wapia kura anadai huo ni upepo unapita ,kitendo cha kutofautiana na waziri mkuu hilo ni tusi ,sasa alimteua wanini kama hapokei ushauri wake kama mtendaji mkuu wa serikali inakuwaje...
Posted on April 21, 2012 by zanzibaryetu
Kundi la watu wanaotaka kuitishwa kura ya maoni kuamuliwa juu ya Muungano uwepo au usiwepo wakiwa katika viwanja vya baraza la wawakilishi
SERIKALI ya...