je UHAFAHAMU HILI LINALOENDELEA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je UHAFAHAMU HILI LINALOENDELEA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 22, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Tanzania kwa sasa ina deni shs trilion 14 ambazo zote zitalipwa kwa kodi za Mtanzania akiwemo wewe na mimi.Bila shaKa deni hili litaongezeka zaidi kwani hali ya hazina sio nzuri....Kwa sasa fanya kazi kwa bidii kwani unadaiwa wastani wa 350,000 kwa sasa.Serikali ya CCM inaendelea kututafuna.....fanya maamuzi ya kina kwa kujiandaa na movement for change 2015


  Tuombe Mungu tu lisifike trilioni 36...CDM isije beba mzigo mzito kupita kiasi


  Jiandae usiku na mchana, chunga kiambulisho chako...wajuze na wengine
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ccm imefika ukomoni, hamna marefu yasiyo na ncha
   
 3. Muttaline

  Muttaline Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nafurahi sana ninapoona kuna real revolutionists katika nchi hii... hope siku zaa mbele matumaini yapo ya watoto wetu kusoma.!!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kidumu chama cha mapinduzi.....
  Zidumu fikra za mwenyekiti

  ccm oyeeeee
   
 5. e

  evoddy JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa wale ambao wanatarifa watupe taarifa wakati MKAPA anaingia alikuta deni la taifa shilingi ngapi?na wakati anaondoka deni la taifa lilikuwa shilingi ngapi? hii itatusaidia kujua je hili taifa kwa huyu rais tuliyenaye ameweza kulisaidia nini taifa
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Lengo la serikali ya ccm ni kuhakikisha kama itatoka madarakani kwa yeyote atakayeingia baada ya utawala wao ashindwe kuendesha nchi kwa mzigo wa madeni...
   
 7. Bee hive

  Bee hive Senior Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Fredmlay!, sidhani kama wanaweza jaribu kitu hicho, maana watakamatwa wote waliotutia ktk haya matatizo na kufilisiwa. Hakuna kinachishindikana duniani nia ikiwepo
   
 8. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi ilivyo sasa mwisho wa mambo haya utakuwa na kishindo kikuu. Ni kama vile ccm wamekata tamaa na wameamua kugawana mali ya umma kwa fujo.

  Wanasahau kuwa wakibaki hai na chini ya Serikali makini ya CDM watarudisha mpaka senti ya mwisho ya walivyoiibia nchi hii
   
 9. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mimi nina mke na watoto wawili Jackson na Jacqueline kwamaana hiyo familia yangu tunadaiwa shilingi 1,400,000/=....... Duh! wacha nimuambie mke wangu tusipate mtoto mwingine mpaka CHADEMA imeingia madarakani........
   
 10. S

  STIDE JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Msiogope watanzania wenzangu kwani hilo deni kama likipata serikali makini chini ya CDM linawekulipwa ndani ya mwaka mmoja tu!!
  Bado hawa viumbe tutawafilisi hadi kuku majumbani mwao!! Kimsingi itatughalimu miaka 2 kuset upya utanzania wetu!! Tumuombe Mola atujaalie uzima tupiganie ukombozi, 2015 serikali iwe chini ya Mwananchi na sio kundi hili la mafisadi.
   
 11. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi 2015 naona mbali sana. Naskia kichefuchefu kwamba nami ni kijakazi wa serikali hii.
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lazma maji tuite mma
   
 13. m

  mandemba Senior Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo haya mapaka hayajui hizi mboga ni za jioni
   
 14. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  weka na riba ya asilimia ishirini. Jumla unadaiwa 1680000 bado linaongezeka. Usipomeet deadline times 2
   
Loading...