Erasto..sichila
Member
- Apr 9, 2012
- 78
- 8
Dawa ya mwizi mawe,zambi huzaa mauti,hawa mawaziri wamenogewa na magari ya serikali nafikiri dawa yao wapigwe mawe popote watapo onekana tanzania ,wakubari ni wezi waondoke hii ni busara ya mtu mzima ,kamakajinyea akubali kufua nguo siokuendelea na ubishi usio tija