MIAKA 7 MADARAKANI HAMJAMFAHAMU VYEMA JK? a.k.a mzee wa MIPASHO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIAKA 7 MADARAKANI HAMJAMFAHAMU VYEMA JK? a.k.a mzee wa MIPASHO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Apr 22, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Baada ya miaka 7 ya kuwa madarakani kweli tumeshindwa kumfahamu kwamba JK ni mzee wa MIPASHO?. Jaribuni kukumbuka mifano michache: 1. sakata la mgomo watumishi wa serikali akawapasha kupitia wazee wa Dar, 2. sakata la madaktari akawapasha kupitia wazee wa Dar, 3. subirini issue ya mawaziri atawapasha wabunge na wabaya wake kupitia wazee wa Dar, n.k

  Wazee wa Dar es salaam ndio wameshika hirizi yake...akimaliza kutoa mipasho utasikia mara ooh kumbe wabunge walichemka,..........tumechoka na MIPASHO.

  MY TAKE:
  new strategy to reach new destination of TANZANIA TUITAKAYO itafanikiwa ikiwa mimi na wewe tutaancha unafiki na kukubali kwamba ukombozi wa wanyonge ni sasa na upo mikononi mwetu...tukiungana, tukapaza sauti, tukawaunga mkono makamanda na wale wote waliojitolea kulitetea taifa hili TANZANIA TUITAKAYO inawezekana.
   
Loading...