Chadema tunaomba mtuongoze maandamano ya kumg'o jk kama jumatatu hatawafuta kazi mawaziri 8

lubaga

Member
Apr 6, 2012
65
17
JK ametutukana wapia kura anadai huo ni upepo unapita ,kitendo cha kutofautiana na waziri mkuu hilo ni tusi ,sasa alimteua wanini kama hapokei ushauri wake kama mtendaji mkuu wa serikali inakuwaje hatakikukubali kuwafuta kazi mwaziri wezi ,anamkataba kagani na hao mawaziri ,kwa maana nyingine fedha zinazoibiwa na hao mawaziri wanagawana na jk ndio maana hataki kuwafuta kazi ,chadema tunaomba mandamano ya nchi nzima ya kuupinga utawala wake aondoke kwenya jumba la wananchi IKULU.
 
Uwajibikaji ni dhana iliyowashinda MAGAMBA. Inafaa tuwafundishe kwa vitendo
 
Back
Top Bottom