Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Kesho ndiyo ile kesi ya makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa kuwa katiba ilikuwa ikimpa mwananchi haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila masharti ya kuwa kwenye vyama vya siiasa; bunge lilikaa na kufuta haki hiyo! katiba inampa mwanachi haki ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KISWAHILI kinao usemi uliozoeleka kwa wengi kwamba, asiyesikia la mkuu huvunjika guu! Pia, upo mwingine, la kuvunda halina ubani. Semi hizi ndizo zinazofaa kutumika katika zama hizi ili kueleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UCHUNGUZI wa kifo cha Mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, Msafiri Mwambo (32) umefanyika jana kwa kushirikisha, maofisa polisi na ndugu na jamaa wa marehemu , akiwapo Mbunge wa Jimbo la...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu nawasalimu wote kwa jina la aliye mkuu, Sikuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii lakini nimelazimika kuianzisha thread hii mapema ili kuondoa mikanganyiko isiyokuwa na ulazima Ikumbukwe...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Nimebahatika kuhudhuria mikutano ya Jumuia ya kiislam ya Uamsho inayofanyika kwa kasi visiwani Zanzibar 1)Mkutano uliofanyika Makunduchi kusini Unguja. Mwitikio ulikuwa mkubwa . umati wa watu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Zipo tuhuma nyingi zinasema Iran ndio wanaosapoti kundi la wana uamsho wa zanzibar kujitenga na Tanzania bara.....kipindi cha nyuma pia minongóno ilishawai tokea kuwa Iran inashirikiana na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba...
9 Reactions
60 Replies
9K Views
Gazeti la kiongozi linalomilikiwa na kanisa katoliki leo limeeleza kinaga ubaga jinsi lowasaa alivyojialika kwenye sherehe za kumsimika Askofu libena wa jimbo jipya la ifakara. Akitoa maelezo...
15 Reactions
185 Replies
19K Views
kwa jinsi watanzania hasa wananchi wa Arusha walivyoikinai serekali legelege iliyopo madarakani hapa hata aje mtu kilaza kiasi gani atapata ubunge ,sharti moja tu asimame kwa kiti cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo wazanzibari wanaandamana hawataki muungano,watanganyika wanasema muungano si halali na hauna manufaa,vipi juliasi angekua hai haya mambo yangezungumzwa kwa staili gani?.sikumbuki ni mwaka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Naombeni msaada Kwa mtu anayeelewa vizuri plan ya serikali kuhusu Namanga. Mtaa wa Makangira Msasani.Eneo ninalozungumzia ni squatters pale nyuma ya maduka ya Namanga. Kuna mtu anataka kuniuzia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekosoa kusudio la kusuka upya Baraza la Mawaziri unaotarajiwa kufanywa na Rais Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imemwelekeza Rais Jakaya Kikwete “kusuka upya” Baraza la Mawaziri, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi. Hayo hayakuwa matazamio ya wengi katika CCM, na jana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SAKATA la wimbi la viongozi wa vyama vya siasa nchini kujiunga na Chadema, limeendelea mkoani hapa baada ya Makamu Mwenyekiti mstaafu wa TLP, Tanzania Bara, Westgate Rumambo kujiunga na chama...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Sasa hii kali Hatimaye Mheshimiwa Lucy Inde(lusinde) atajwa kuwa miongoni mwa mawaziri wapya watakalo suka hilo baraza jipya, vyanzo vyangu vya habari inasema Kibajaji amepewa hiyo nafasi ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JK amebanwa na mfumo mzima wa CCM lakini inaonyesha dhahiri hapendezwi na ufuatiliaje wake katika uwajibikaji.
0 Reactions
0 Replies
740 Views
habari jf, nipo kijiji cha Old Shinyanga, kilichopo manispaa ya Shinyanga mjini kwa muda wa siku mbili sasa. Nimekuta uozo wa hali ya juu, ubadhirifu mkubwa wa mali za wananchi na kukosekana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba mahakama zetu hazipo huru so hata siku moja CHADEMA tusitegemee haki iliyo kamili kutoka ktk mahakamA hizi za CCM,. Tumeshuhudia jinsi kesi ya G. Lema ilivyohujumiwa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…