Wajamii, Leo Mkufunzi na mtaalamu wa uchumi Prof. Lipumba katika mahojiano ya moja kwa moja "LIVE" channel ten usiku huu kipindi cha Hamza Kasongo Hour, amekanusha kumtetea Pinda badala yake...
Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya tutatilia maanani sana events zinazoendelea sasa za Mahakama na Chaguzi za Ubunge, I mean pole pole Tanzania tunaanza kujenga imani potofu...
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge...
Fred,
Nakushauri uanze maandalizi ya kuchukua jimbo. Kwa kuanzia nakushauri uanze na harambee ya kuweka kifusi/mitaro kwenye barabara ya Barakuda - Vingunguti ambayo imesahaulika na serikali ya...
Wahenga walishasema lakuvunda halina ubani, CCM wameshinda kesi ya ubunge segerea! je watapata uungwaji mkono kwa kutumia hukumu hiyo? Nadhani mambo yatakuwa magumu zaidi kwao, kwa kweli kama...
Wakuu mimi nimekuwa nikijiuliza kila siku kuhusiana na hili la wapinzani kushutumiwa kuiba kura wakati wa uchaguzi hivi ni sahihi? Kama waliiba waliibeje? Wakati wakurugenzi wote ni wa kwao...
wana JF niambieani ni mbunge gani ambaye amepita ktk jimbo lake akiwa msafi na amepita kihalali bila ya mlungula kiasi kwamba hata akipewa uwaziri hatadhubutu kurudisha principle money plus...
Kati ya watanzania mil 40 ni Watanzania mil 1.2 tu ndio wana TIN hawa ni wa driving licence, magari, pikipiki na wafanyabiashara na VAT registered ni only 320,000! Kwa takwimu hizo inamaana TRA...
Jamani wakati wa sherehe za miaka hamsini ya Tanganyika,Gàvana wa Benki kuu ya Tanzania aliwaahidi Watanzania kuwa Benki Kuu itatengeneza Sarafu kama kumbukumbu maalum ya miaka hamsini ya...
Ni muda sasa umepita tangu bunge letu tukufu limalizike kwa kumtaka waziri mkuu ajiudhuru au mawaziri waliotajwa kwenye riporti ya CAG wajiudhuru!!!!
Kwanza jambo la kusikitisha Mheshimiwa Raisi...
Wana JF, leo katika pitapita zangu hapa Arusha nilikuwa kwenye hoteli ya New Arusha hotel ambako mh. Makongoro Mahanga alikuwa amefikia na ka small house kake.
Katika mazungumzo yake na Mh...
".....Work for revolution. Don't fear revolution. Those who fear revolution are exploiters. When exploiters hear of a revolution they cry: Mama wee, mama wee!" Those who fear changes are...
naona kama hii tume ya katiba itakuwa na matumizi makubwa sana. Leo wamekabidhiwa jengo jipya, kubwa lenye kila kitu. Bado gharama za huduma mbali mbali ambazo wameahidiwa. Hii katiba nayo...
Imekuwa ni desturi kwa wanasiasa wa Tanzania kusema nimeomba kujiuzulu na wananchi tunashangilia na wakati mwingine inasemekana Mkuu wa Nchi (Rais) amemkatalia waziri fulani kujiuzulu. Ilikuwa...
Mara kwa mara navutiwa na jinsi majirani zetu Kenya wanavyoendesha mambo yao ya utawala hasa baada ya kupitishwa katiba mpya. Kwa sasa kuna zoezi linaloendelea la kuwachuja yaani "kuwa-vet" majaji...
Baada ya kulaani na kushindwa kusaini hoja ya zito kabwe ya kutokua na imani na waziri mkuu wakimuogopa mkuu wa nchi kumbe naye rais alikua anafurahia wabunge walivyokuwa wanajadili.wadai...
Facebook wall ya heche.
" Mimi binafsi nilijua wazi juu ya hilo,kwani hata alipokamatwa na kura na kupelekwa polisi buguruni.Rais kikwete ndio aliyempigia simu mkuu wa polisi kwamba amwachie...
na Sitta Tumma, Biharamulo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Bukoba, mkoani Kagera, juzi ilitupilia mbali kesi ya madai ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dk. Anthony Mbasa...
1. Hukumu juu ya kesi ya Makongoro na Mpendazoe.
2. Ufisadi
- EPA
- RICHMOND
- DOWANS
- KAGODA
- IPTL
- NK.
3. Mauaji yanayofanywa dhidi ya wafuasi wa CHADEMA.
4. Maisha...