Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

Apr 26, 2012
15
9
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie
 
Ni kuonyesha kuukubali mchango wake vinginevyo angepokewa kwa mawe....kwani wewe ni gamba..mana nasikia kuna mchuano mkali kati Nagu na Mbunge huyo wa chadema....
 
Yule MP anaonekana yuko poa sana upstairs halafu ni graduate wa sheria!!

Najisikia fahari sana kuwa mwanachadema, Mary nagu lazima apigiwe horn mapema!!
 
unawaona hao wa Karatu peke yao......
je sisi ambao tunatoka Chuga kwenda kuungana na makamanda wa Karatu katika mapokezi........utatuelezea vipi.....?
 
Mzee wa Karatu mbona watu wanataka kuandamana kumpongeza JK kwa kuvunja baraza la mawaziri hujasema na hujaona ajabu iweje hilo ndiyo uone ajabu?

Watu waliandamana kwa babu Seya kufungwa iweje wewe uone ajabu leo hii?

Hiyo ID yako nina mashaka nayo wewe ni gamba.
 
unawona hao wa Karatu peke yao......
je sisi ambao tunatoka Chuga kwenda kuungana na makamanda wa Karatu katika mapokezi........utatuelezea vipi.....?

Naona atazidi kushangaa. Hajui maana usimwambie maana ya maana sasa.
 
Yule MP anaonekana yuko poa sana upstairs halafu ni graduate wa sheria!!

Najisikia fahari sana kuwa mwanachadema, Mary nagu lazima apigiwe horn mapema!!
Kituo kimoja hapa Arusha jana kilisema kuwa kuna sehemu ilitengwa kwaajiri ya wafugaji lakini kwa mshangao wa wengi Mary Nagu wakati anaomba kura akawambia wakulima atawaruhusu kulima mahali hapo, huku kijua fika kuwa sehemu hiyo ilitengwa kwaajiri ya wafugaji, na mbaya zaidi wanalima mpaka kwenye vyanzo vya maji ambapo ni hatari kwa vizazi vijavyo ukizingatia wengi ya wanaoenda kulima huko siyo wakazi....hivyo basi Nagu anaungwa mkono na wakulima wanao toka nje ya jimbo hilo na huyu Mbunge wa chadema anaungwa mkono na wazawa ambao wengi wao ni wafugaji na wanatetea vyanzo vya maji.
 
unawona hao wa Karatu peke yao......
je sisi ambao tunatoka Chuga kwenda kuungana na makamanda wa Karatu katika mapokezi........utatuelezea vipi.....?
Hahahahaha Preta habari za wikiendi....Harafu siku hizi nyendo zako sizisomi kabisa
 
Convey to her my warmeth hug! Bravo madam and just go on and on.

Viti maalum wa ccm ni kushinda baa, ufuska nk; so lady you've just shown the expected distinction
 
Kituo kimoja hapa Arusha jana kilisema kuwa kuna sehemu ilitengwa kwaajiri ya wafugaji lakini kwa mshangao wa wengi Mary Nagu wakati anaomba kura akawambia wakulima atawaruhusu kulima mahali hapo, huku kijua fika kuwa sehemu hiyo ilitengwa kwaajiri ya wafugaji, na mbaya zaidi wanalima mpaka kwenye vyanzo vya maji ambapo ni hatari kwa vizazi vijavyo ukizingatia wengi ya wanaoenda kulima huko siyo wakazi....hivyo basi Nagu anaungwa mkono na wakulima wanao toka nje ya jimbo hilo na huyu Mbunge wa chadema anaungwa mkono na wazawa ambao wengi wao ni wafugaji na wanatetea vyanzo vya maji.

Mkuu,
Hapa lazima kieleweke tu hata kwa tindo!!

Magamba yamejisahau sana!
 
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie

Nakuvua rasmi UKAMANDA, huwezi kuwa kamanda halafu unazorotesha M4C, mapokezi yanaambata na elimu ya uraia, pengine kuna magamba yanakuja kuvuliwa gamba, yale sio maadhimisho ya Muungano bila hotuba, lazima makamanda watatema sumu kali
 
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie

Umejiunga JF kwa ajili ya huu upuuzi, wewe una chuki binafsi na si vinginevyo.... Join Date : 26th April 2012
 
unawona hao wa Karatu peke yao......
je sisi ambao tunatoka Chuga kwenda kuungana na makamanda wa Karatu katika mapokezi........utatuelezea vipi.....?

Duh! Preta nilikuwa Karatu week iliyopita aisee niumekubali huko kweli kuna makamanda wa CDM, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko ila nimekubali. My stay at Kudu lodge na ktk campsite ya panorama was enjoyable!! Big up wana Karatu!
 
Back
Top Bottom