Mpendazoe fanya harambee utatue kero za wapiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpendazoe fanya harambee utatue kero za wapiga kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, May 2, 2012.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Fred,

  Nakushauri uanze maandalizi ya kuchukua jimbo. Kwa kuanzia nakushauri uanze na harambee ya kuweka kifusi/mitaro kwenye barabara ya Barakuda - Vingunguti ambayo imesahaulika na serikali ya CCM.

  Ukiitisha mkutano wa harambee maeneo ya Barakuda wananchi watachangia kuondoa kero ya kuogelea maji machafu kwenye kipande cha barabara hiyo kilichosahaulika ambacho ni muhimu na kinatumiwa na wapiga kura wengi wa Segerea kwenda sehemu mbalimbali za jiji kama short cut.

  Usipoteze muda bali anza kutatua kero za wapiga kura uwe na uhakika wa ushindi 2015
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu badala kuanza kufanya harambee ya kumchangia kulipa gharama za kesi ya uchaguzi ndio muhimu kwanza.
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Gharama za kesi tayari zilishalipwa
   
 4. k

  kagame Senior Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaonaje ukiamua kuturudishia sehemu ya amana uliyokwisha tuibia umpatie komredi Mpendazoe akalipie hizo gharama za kesi ya uchaguzi?
   
Loading...