Usanii wa benki kuu ya Tanzania

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Jamani wakati wa sherehe za miaka hamsini ya Tanganyika,Gàvana wa Benki kuu ya Tanzania aliwaahidi Watanzania kuwa Benki Kuu itatengeneza Sarafu kama kumbukumbu maalum ya miaka hamsini ya Tanganyika na kuuzwa kwa watanzania kama si kugawiwa.

je Sarafu hizo zikowapi?
 
Hizo sarafu zipo. Nimeziona na mimi nimenunua yangu moja kwa elfu hamsini na kuiweka na kuitunza.
 
hiyo sarafu ingetenezwa kwa gharama za nani? au ndy alikuwa anajaribu kutengeneza mwanya wa kupiga hela km liyumba na wenzae..?
 
Kama kumbukumbu tu ni mapambo usifikiri ni kama sarafu ya kuzunguka kama pesa nyingine.

Ulishaambiwa no research no right to speak!
 
Jamani wakati wa sherehe za miaka hamsini ya Tanganyika,Gàvana wa Benki kuu ya Tanzania aliwaahidi Watanzania kuwa Benki Kuu itatengeneza Sarafu kama kumbukumbu maalum ya miaka hamsini ya Tanganyika na kuuzwa kwa watanzania kama si kugawiwa.

je Sarafu hizo zikowapi?
Watu wenye akili zao walimshauri kwamba anachotaka kukifanya ni upuuzi tu, kwasababu sehemu kubwa ya Watanzania hawapendi kabisa kusikia masuala ya Miaka50 ya uhuru
 
Kama kumbukumbu tu ni mapambo usifikiri ni kama sarafu ya kuzunguka kama pesa nyingine.

Ulishaambiwa no research no right to speak!
nchi iko vitani kaka we kumbukumbu ya miaka hamsini ya nini? njaa ujinga na maradhi au ni kumbukumbu ipi unayomaanisha? usifuate mkumbo kaka
 
hizi pesa za zamani zenyewe bado hawajaweza kuzi- phaseout ... sasa hawa benki kuu sijui wanafanya nini, sijui mwisho wa pesa za zamani ni lini
 
Back
Top Bottom