Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sarya, Apr 24, 2012.

 1. S

  Sarya Senior Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF, leo katika pitapita zangu hapa Arusha nilikuwa kwenye hoteli ya New Arusha hotel ambako mh. Makongoro Mahanga alikuwa amefikia na ka small house kake.
  Katika mazungumzo yake na Mh. Bernard Murunya (EAC elect MP) kwenye miida ya saa tisa hivi mchana, akawa ana mwambia kuwa amejiandaa vipi na kushangilia hiyo siku ya tarehe 02/05/12. Nikajiuliza siku hiyo kunanini, kumbe kulikuwa na jamaa kwa pembeni yangu alikuwa akifuatilia hayo mazungumzo ndipo akaniambia ndiyo siku ya hukumu dhidi ya ubunge wake. Nilijiuliza maswali mengi kama hii ndiyo aina za mahakama zetu kweli tumekwisha. Mengi yanayo fanyika mahakamani ni drama tu kwa walala hoi lakini si kwa wakubwa na isitoshe watawala.
  I was shocked and very disappointed to hear this news na nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu mtoe maoni yenu.
  Nisingependa kumhukumu Makongoro japo yeye tayari inaonekana ana nakala ya hukumu kwa hiyo kauli yake lakini wengi wetu tulikuwa tunafuatilia hizi kesi lakini kati ya kesi zote, ya Mahanga imekaa vibaya kuliko ya mbunge yeyote.
  Nawasilisha!
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Jana nilishikwa na hasira juu ya pinda naona unataka kuiongezea du nitakufa muda si wangu
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Usihukumu kabla hukumu yenyewe haijatolewa; huenda anajifariji na kujipa moyo tu.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Jaman,cjui me ndo niko nyuma ya ulimwengu,hyo kesi yake ni ya nin?
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mahanga kushinda?
  ivi nani anteua majaji?
  who are the jurors?
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nitatoa comment tar 2
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hata iweje makongoro ni lazima shindwe uchaguzi 2 kwani kila kitu kipo wazi na kama mahakama itachakachua basi itaongeza hasira za wanmageuzi na itakuwa imechochea vuguvugu la mabadiliko la hali ya juu.
   
 8. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa hapa inatafutwa sababu ya hii nchi isitawalike
   
 9. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kila ukifungua fahamu zako kuona,kusikia,kunusa ama kuhisi,utaona kuna mambo mengi ya aibu nchini.Yawezekanaje mgombea akutwe na sanduku la kura asizoeleweka alipozitoa wala anapozipeleka,then apelekwe Buguruni Polisi halafu aachwe hivihivi?kwa nini matokeo ya kura yatangazwe saa tisa kasoro usiku hapa dar es salaam? kwa nini yacheleweshwe?Tena wajua hiyo Phd ya jamaa huyo,jamaa mwingine aitwaye Masaburi na mzee mwingine anayeongoza taaluma nyeti hapa nchini zote wamepatia WASHINGTON INTERNATIONAL UNIVERSITY ambayo kwa kisomi ni DEGREE MILL?yaani ukitoa dola kahdaa wanakuletea vitabu vinne au sita unafanya review halafu unaletewa degree nyumbani-hawajathubutu kuzipeleka shahada hizi TCU zihakikiwe!Zamani kidogo niliona nukuu hii mahali fulani:law is like a cobweb,too weak for the strogn and too strong for the weak
   
 10. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  masahihisho strogn=strong
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ya Lema yalisemwa hivi hivi wiki moja kabla ya hukumu na ikawa kweli!!!
  Wajuu wakishawajibishwa,nadhani wengine wote watashika adabu!!!
   
 12. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  naona siku izi JF imegeuka mahakama kuu..
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hawa majaji wasisahaulike majina,serikali mpya ikianza kazi baada ya 2015 wafukuzwe kazi,wanaaibisha taaluma zao
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Expect an expected
   
 15. U

  Umsolopogas JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mchango wako katika hoja hii ni sentence moja tu. Lakini nilishajua kwamba wewe ni mgeni nchi hii. Hukumu ya Lema ilishajulikana siku nyingi kabla ya kusomwa kwa hukumu yenyewe. haishangazi kuwa yanaweza yakawa hayo hayo.
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  nasubiri tar 2,kwa sasa "still Loading......
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kwake itakuwa heri akishinda lakini kwa chama chake ni muendelezo wa maandalizi ya kilio kikuu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii ni Tz nchi ambayo viongozi wake wanaapa kuwa watawatumikia na kutetea mafisadi na si katiba tena
   
 19. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wamehukumu nini hapa jf kama sio ulimbukeni wako? Hapa inajadiliwa mshitakiwa kujua matokeo ya hukumu kabla siku ya hukumu na hii ni uthibitisho wa serikali dhaifu iliyogubikwa na rushwa.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kumbe uandishi ni kazi na taaluma ya watu!
  Kwanini usieleze huyu mtu aligombea na nani wa chama gani ili kuwajuza ambao kwa namna moja ama nyingine hawakupata kujua kilichojiri?
  Maelezo ni shallow sana!
   
Loading...